Dogo amepoa sana kama uji wa sembe, hana amsha amsha, mziki wa bongo unahitaji uandishi mzuri na drama kwa wingi ili uende mjini.
Diamond platnumz licha ya uandishi wake mzuri alikuwa na drama nyingi, rejea harmonize, rayvann, mbosso, zuchu hawa wote wimbo wao wa kwanza tu uliwapeleka mjini...