Ndugu zangu Wakristo wamepata neema ya kipekee ambayo ndugu zangu Waislam hawajawahi kuipata. Neema hiyo si nyingine ila ni ile ya watu kwenda mbinguni kisha kurudi.
Sijawahi kusikia Sheikh, Imam wala Maalim akijinadi kuwa ameshawahi kwenda mbinguni na kisha kurudi tena.
Haya mambo ya watu...
Hii ni orodha fupi ya baadhi ya viongozi wa Marekani ambao wamewahi kutembelea Tanzania kwa nyakati mbalimbalu.
1. Rais Barack Obama: Aliitembelea Tanzania mwaka 2013 akiwa madarakani na kukutana na viongozi mbalimbali wa serikali wakiongozwa na Rais Jakaya Kikwete
2. Rais Bill Clinton...
WanaJf,
Salaam!
Naenda moja kwa moja kwenye agenda.
(a). 1995 Mbunge wa wakati huo RUHINDA alinukuliwa akisema "Hata mkininyima kura sitavaa kobazi."
(b). 2000 - 2005 mbunge Magayane akanukuliwa akiwaambia wapigakura kuwa "nyani hali kilichopikwa."
(c). 2020 -
Mbunge amenukuliwa akisema kuwa...
Ni uzi maalum kwa kumbukumbu
Kwa vile sayansi haithibitishi kila kitu ikiwemo uchawi inakuwa ngumu kupata ushahidi ila wataalam wa mambo wanakwambia kwamba haya mambo ya kupigana vipapai yapo katika soka la bongo.
Hadi sasa tumeweza shuhudia wachezaji hawa wawili Mwenda na Kapombe wakihusishwa...
Leo tujikumbushe kwenye historia ya nchi yetu tangu tulipoungana na wenzetu wa Zanzibar mwaka 1964.
1. Ni watu wawili tu wamewahi kushika madaraka hayo zaidi ya mara moja ambao ni Edward Sokoine na Cleopa Msuya
Edward Sokoine akishika madaraka hayo mwaka 1977 mpaka 1980.
Kwa mara pili...
Leo, tuwakumbuke wachezaji kutoka kusini mwa Afrika waliowahi kucheza soka hapa Tanzania, nikianza na Wisdom Ndlovu kutoka Malawi, huyu alicheza Yanga. Unamkumbuka yupi? Endeleaa..
Habari zenu,
Nimesikia kwamba inapotokea mwajiri wako hajamaliza kuweka michango yako yote lakini kutokana na shida zako ukaamua kuchukua kwanza michango iliyopo halafu muajiri wako akimaliza kupeleka michango iliyobaki kuna fomu unatakiwa ujaze inayoutwa "fomu ya mapunjo" ili uweze kulipwa...
Binadamu katika mazingira mbali mbali, hukumbana na majanga mbali mbali ambayo mengine ni hatari kabisa.
Kuna waliowahi kushuhudia mtu kiauawa na kukaa kimya.
Kuna waliowahi kuona mtu anamloga mwingine wakatunza siri.
Kuna waliowahi kuona mwenzao anaibiwa wakakaa kimya.
Kuna waliowahi kushuhudia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.