wallace karia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    GSM acheni kuwatumia Wasemaji na Wazee wa Yanga SC Kuwachafua Waziri Mkuu Majaliwa na Rais wa TFF Karia kwa Maslahi yenu ya Kibiashara

    Nimependa nilipoona TFF imetoa ONYO juu ya Upuuzi huu wa Wasemaji na Wazee wa Yanga SC ila nashangaa na nasikitika mpaka leo Wizara husika ya Utamaduni, Sanaa na Michezo na BMT wakiwa Kimya kitu ambacho ni Hatari na kinaweza kuibua Hisia Mbaya juu yao. Baada ya GSM kuona Mkakati wao Kufeli...
  2. AbuuMaryam

    Wallace Karia simama imara. Kuna watu wanakusaka kila pembe ili mradi tu

    Kinachoendelea ni kwamba kuna genge linaloongozwa, au kama si kuratibiwa na (Mdau mmoja wa michezo mkubwa kutoka radio iliyoko Maeneo ya DARAJANI Barabara ya KAWE). Kwa kutumia watu wanaopatikana au kwa mgongo wa club moja kubwa hivi hapa nchini yenye jina la Mnyama wa Pori. Wanatumia kila...
  3. BASIASI

    Wallace Karia, kamati yako ilipitshaje watu wasio na vigezo? Jianadae kwa maswali haya

    1) Katiba yenu iko Kiingereza sio wajumbe wote wanajua Kiingereza, je wasiojua wanaielewaje? 2) Kamati yako feki ilifanikiwa kuwaingiza kadhaa nyuma yako ingawa mchezo ulikuwa mwanzoni kabisa waseme wewe umepita bila kupingwa wakashauriwa mtaharibu. Sasa hao mluopitisha imekuwaje hawana vigezo...
  4. Komeo Lachuma

    TFF, Karia na Serikali inaonekana kuihujumu Mwadui

    Kwa mtu aliyeangalia mechi ya jana lile goli la Tatu la Yanga lilikuwa Offside ya wazi kabisa. Ya wazi kabisa bila utata. Lakini Tunaona jinsi ambavyo TFF inavyoshirikiana na Yanga kuzihujumu team ndogo kama Mwadui. Mwadui jana wameupiga mwingi sana wamekuja angushwa na rushwa katika mpira...
  5. N

    Yanga na kwenye hili pia mtamlalamikia Karia?

    Hawa jamaa wana malalamiko hadi aibu, kila siku Karia Karia, angalia hata kwenye top scorers wa ligi hawapo hawana hata mchezaji mwenye goli 8,hawa watu wako serious kweli? Jana kwenye under 20 offside ya wazi goli limekataliwa wanasema TFF na karia wanawaonea. Kwenye ligi ya wanawake kule...
  6. N

    Karia na TFF wasipowafanyia fitna Kambole na Djuma Shaban itakuwa balaa sana

    Sisi sote ni mashahidi jinsi wallace karia na TFF walivyokuwa wanawazuia kina yikpe,sarpong na wachezaji kadhaa nyota wa kigeni kufunga magoali na kusababisha wakose magoli ya wazi huku wakiwabeba wachezaji wa kiwango cha kawaida mno kama cham,kagere,luis jose waonekane wana shine. Wana...
  7. GENTAMYCINE

    Hakuna Kiongozi bora kama Rais wa TFF Wallace Karia, hivyo apewe Minne yake tena au atawale hata Milele TFF

    Amefanya Mambo mengi mazuri hasa katika kuleta Mandeleo ya Soka Tanzania Katika Wagombea wote waliochukua Fomu Karia ni bora na anafaa kuliko wengine. Tena ikiwezekana na Katiba ikiruhusu Wallace Karia aongoze Milele tu TFF kwani kafanya makubwa. Ukiona Mtu anakubaliwa na GENTAMYCINE jua ni...
  8. Erythrocyte

    Waliomchukulia fomu ya kugombea urais wa TFF Wallace Karia wamelipwa nini?

    Kuna Taarifa kwamba Mwenyekiti wa zamani wa Simba Swedi Nkwabi aliyemkimbia MO pamoja na Mamluki Ntahilaja anayetajwa kutoka Yanga leo wameonekana kwenye ofisi za TFF kwa kile kinachodaiwa eti kumchukulia fomu "bilionea" Karia ili aendelee kutafuna hela za TFF. Swali ni hili: Wamelipwa nini...
  9. Chukwu emeka

    Rais wa TFF Karia ana tatizo gani Kocha Fred Felix Minziro? Tazama video hii

    Leo ilikuwa fainali ya ligi daraja la kwanza kati ya mshindi wa kundi A na B, Mbeya kwanza vs Geita Gold. Geita inayonolewa na Minziro imeshinda. Sasa wakati Fred anaenda kuchukua tuzo yake Karia alihakikisha hampi mkono Baba Isaya. Hata kama wanatofauti zao,ila Karia kama kiongozi amefanya...
  10. homeless1

    Wallace Karia: Hela za viingilio za mashahiki zipo salama na hakuna atakaedhulumiwa

    Rais wa shirikisho la soka Tanzania TFF Wallace karia amesema kuna taarifa itatolewa, hio ndio itaeleza Kila kitu juu ya mechi ya Simba dhidi ya Yanga kusogezwa mbele hadi kuahirishwa, lakini kwa sasa hata yeye hajui nini kilitokea. Karia amesema kuhusu hela za viingilio za mashahiki, zipo...
Back
Top Bottom