Hawa jamaa wana malalamiko hadi aibu, kila siku Karia Karia, angalia hata kwenye top scorers wa ligi hawapo hawana hata mchezaji mwenye goli 8,hawa watu wako serious kweli?
Jana kwenye under 20 offside ya wazi goli limekataliwa wanasema TFF na karia wanawaonea.
Kwenye ligi ya wanawake kule...