Wamasai ni wazalendo, na masomo ya kiraia wametupa:
"Ilikuwa Ngorongoro, tukayasikia Loliondo."
Kwa hakika hawa hata kama wangekuwa Gaza, Mossad wangenyoosha mikono.
Haipo shaka hawa ndugu wanaipenda nchi yao kuliko wapalestina!
Wangekuwa chama, wasingeibiwa kura na katiba waitakayo...