Kwa namna mama anavyo lishughulikia suala la wamasai wa Ngorongoro hakika anastahili pongezi.
Ni kwa njia shirikisho na jumuishi. Sasa hawa Wamasai wanachopigia kelele mpaka kwenye vyombo vya kimataifa kama Al Jazeera ni kipi?
Na Al Jazeera kinachowafanya waendeshe mjadala hiyo jana wa upande...
Bar ya Sun Siro imepiga marufuku watu wa jamii ya Kimasai kuingia kwenye bar hiyo.
Huu ni ubaguzi rasmi ambao hauna jina jingine ila ubaguzi wa kikabila.
Nyerere alishasema dhambi ya ubaguzi wa kikabila ni sawa na kula nyama ya mtu.
Nazuimba mamlaka zinazohusika na kutoa na kusimamia leseni...
Huko kaskazini mwa Tanzania, zaidi ya wakazi 70,000 wa jamii za Kimasai wanakabiliwa tena na kufukuzwa kutoka kwenye ardhi ya mababu zao baada ya serikali kuweka wazi mipango ya kukodisha ardhi hiyo kwa kampuni kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu - UAE, ili kuunda ukanda wa wanyamapori kwa ajili ya...
Miaka 61 baada ya kuwa na Tanganyika huru leo tunashuhudia kampeni kubwa na ya aina yake katika taasisi mbali mbali hapa nchini ya kuwataka wamasai ambao wamekuwa wakiishi katika maeneo hayo kwa zaidi ya miaka 60 kutakiwa kuya hama makazi yao ambayo vizazi na vizazi wamekua wakiita nyumbani...
Picha: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
“Ngorongoro Mungu aliwapa uwezo wa kukaa na wanyama pamoja hili linavutia na huwezi kuzungumza utalii huu bila ya nyie kuwepo, nikiri mna mchango katika kuongeza pato la taifa kwa uwepo wenu na uhifadhi,” - Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wakazi...
Baada ya Maulid Kitenge kufanya tour na timu yake Ngorongoro watu walijitokeza nakusema alivyolipwa na kwamba ana tekeleza matakwa ya watu flani na siyo utashi wake.
Siku chache Balile kawaitisha vyombo vya habari na wanahabari kuwashawishi au kupiga kampeni kuwaondoa Wamasai Ngorongoro...
Amani iwe nanyi
Kama kichwa cha uzi kinavyosema, Kama Mtanzania ninayeipenda nchi yangu, ninayejali maendeleo ya Watanzania wote vizazi na vizazi, leo nasema kwa Sauti moja, Kama tunajali maendeleo ya Tanzania yetu, Ni lazima wamasai waondoke Ngorongoro ili lile eneo liendelee kuwa na wanyama...
Wamasai wamedekezwa kwa miaka mingi kwa kisingizio cha kuwabadilisha; wapende shule, wapunguze mifugo, sijui bhla! bhla gani. Wamekuwa wasumbufu wanaojidai kutojua sheria za nchi kwa kisingizio eti ndivyo walivyo. Hawa wanajifanya na wametumia mwanya huo kundekeza ukabila na kujifanya wao ni...
Wamasai ni sehemu ya Utalii kwa sababu wanadumisha mila na desturi ambazo makabila mengi yameshindwa.
Kwa mfano:
Wagogo wa leo hawatoboi masikio kama unga
Wamakonde wa leo (Mmawia) hawachanji chale wala kuweka ndonya
Wahehe hawaweki kumi na moja pembeni ya macho
Wajaluo wanatahiriwa...
Mbunge wa viti maalumu, Salome Makamba ameitaka Serikali itumie magari ya Washawasha kuwaondoa Wamasai huko Ngorongoro badala ya kuyatumia kudhibiti Wapinzani.
Makamba amesema yeye ni balozi wa tembo hivyo anaelewa kinachoendelea hifadhini Ngorongoro kiukweli mbuga inaangamia kwa ukorofi wa...
Mgogoro wa Hifadhi ya Ngorongoro kuhusu wakazi wanaoishi ndani ya eneo hilo umekuwepo kwa miaka mingi, kwa muda wote huo hakuna utatuzi rasmi wa nini kinatakiwa kifanyike.
Juzikati baada ya bwana Maulidi Kitenge na wenzake kutembelea hifadhi hiyo, alitoa ushauri wa Serikali kufanya mpango wa...
Eneo la hifadhi ya Ngorongoro ni zao la mkataba kati ya Serikali ya kikoloni ya Uingereza na viongozi wa kimila wa jamii ya kimasai na makubaliano yalikuwa ni kwamba, wananchi wenyeji wa Ngorongoro waondoke eneo la Serengeti na wasirudi tena waende Ngorongoro
Mkataba wa Serikali ya kikoloni ya...
Kituo cha Wanahabari watetezi wa Rasilimali na taarifa (MECIRA) kimeitaka serikali kuchukua hatua madhubuti za haraka na dharura ili kunusuru maisha ya wananchi jamii ya kimasai wanaoishi katika tarafa ya Ngorongoro iliyopo ndani ya hifadhi ya Ngorongoro sambamba na kunusuru mazingira na...
Kwanza lazima nitangulie kusema tuko karne ya 21.
Hatuko karne ya 19 au 20, ambapo si mbali sana jamii za kiafrika tulikuwa bado hunters, gatherers na herders.
Sasa hii siasa na sera ya kusema mtanzania yeyote ana haki ya kuishi popote, ni sawa, lakini ina mapungufu makubwa.
Sera hii haiwezi...
IGP Sirro amefanya ukaguzi wa kushtukiza wilayani Kilindi ambako wananchi sita wameuawa katika mapigano kati ya Wakulima na wafugaji.
Sirro amesema alijisikua maumivu moyoni baada ya kuelezwa na wanafunzi kuwa wameshindwa kwenda shule wakihofia kuuliwa na wamasai.
IGP Sirro ameahidi kupeleka...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kabila la wamasai wanakawaida ya kuhamahama hali inayoweza kuleta changamoto katika zoezi la sensa mwaka 2022.
Amesema watu wasipojitokeza itakuwa ngumu kupanga mipango ya maendeleo katika maeneo husika kwa kupeleka miradi isiyotosheleza.
Sensa ya uhesabuji...
Hello,
Kuna thread nyingi sana humu Jamii Forums nimeona Wamasai wakikejeliwa mno kwa kuitwa washamba, hawavai nguo za ndani na mengine mengi. Hii ni mitazamo ya kibaguzi na potofu kabisa.
Binafsi sipendezwi na tabia za kuwadhalilisha Wamasai na ninapendekeza zikomeshwe. Stop shaming them...
Wakuu nipo sehemu fulani hapa kuna vijana wanajaza fomu fulani hivi mimi nikiwa kama msimamizi wa hili zoezi kuna jambo linanitatiza hapa kidogo.
Katikati hizo fomu kuna kipengele cha kujaza kabila lako sasa vijana wengi kutoka Mkoa wa Arusha katika hiki kipengele wanajaza kabila lao MUARUSHA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.