Naliangalia suala la Ngorongoro, Loliondo, Handeni na sasa huko Songea, Katavi na hata wale waliovurumishwa bonde la Ihefu kwa jicho tofauti.
Imefika muda wenzetu hawa Waasaai, na siye wasukuma na jamii za kifugaji, inabidi kubadilika na wakati.
Watu wanaisi karne ya 17 kwa kutembeza mifugo...
Kwa wasioelewa mgogoro huko Ngorongoro na Loliondo.
Ni hivi , Huko Loliondo ndio kuna mwarabu(OBC) anayetaka ardhi ya wananchi, nguvu na ubabe unatumika kuwaondoa watake wasitake.
Eneo la Kilometa za mraba 1500 huko Loliondo ni eneo ambalo yule mwarabu wa OBC analitaka , na ndio figisufigisu...
Kisiwa Cha pemba ni fursa kubwa Kwa utalii japo Kwa Sasa maeneo mengi yamehodhiwa na wazawa na wameshindwa kuyaendeleza. Nadhani katika kukuza pato la Taifa upo umuhimu wa kujenga maghorofa kama aliyojenga Karume Unguja then familia za wakaazi wa Pemba wakae kwenye makazi hayo nadhifu kuruhusu...
kwa sasa nimeona Wamasai wengi wakihamishwa na Costa kupelekwa huko Handeni na ng'ombe zao kuhamishwa kwa malori, ikielezwa kuwa wanahama kwa hiyari
Najua kuna amboa wanaweza kuweka msimamo mwanzo mwisho kuwa hawatahama kwa kuwa kuhama ni hiyari
Sasa hawa hawataamini kitakachowakuta...
Kabla hatujaanza kuchagua upande wa kusemea kuna maswali ya kujiuliza kuhusiana na suala zima la Ngorongoro, Kuna maeneo mengi sana nchini Tanzania watu wanahamishwa kupisha shughuli mbalimbali za kimaendeleo. Baadhi ya sehemu hizo wapo wnaaolipwa fidia na wapo ambao hawaambulii chochote. Katika...
Kuna kelele nyingi sana kufuatia dhamira njema ya serikali ya kuwaondoa wamasai kwenye pori tengefu la Loliondo.
Kwanini wamasai wa Loliondo wanataka wawe na special treatment nchi hii?
Awamu ya 4 iliwaondoa wafugaji maeneo ya bonde la Usangu, Ihefu, na Ujiji lkn hakuna aliyepiga kelele. Why??
Wanaukumbi.
Serikali yetu imefanya kwa nia nzuri kulinda mipaka yetu kwa kufanya zoezi la kuweka mipaka ya Nguzo kwenye maeneo yote Loliondo.
Kuna wanaharakati njaa wanadai kuwa hamna Wamasai wa Kenya wala Tanzania, tunawapa tahadhari wakiendelea kuwasikiliza wanaharakati njaa wanataletea...
Mbunge wa Simanjiro amesema nia ya Waziri Chana ni kuifuta jamii ya kimasai kwenye uso wa Arusha kwa kuzibadili wilaya nne kuwa pori la akiba.
Ole Sendeka amesema one mvua like just hili halitawezekana.
Spika Tulia ameingilia kati kutaka Ole Sendeka atoe ufafanuzi wa kisheria kuhusu mapori ya...
Kila mtu ana asili yake! Na maendeleo ya mtu ili yawe na maana lazima yaguse asili ya mtu!
Ukimtoa masai umasaini aje aishi masaki, hii siyo maendekeo kwake bali ni kashfa na ni kumuua (kumharibu kiasilia na lazima siku atarudi alikotoka)
Mtu aliyezoea kunjunga haja yake polini ukimjengea choo...
Habari za Jumapili popote mlipo.
Nafikiri wengi mnajua kuhusu mpango wa serikali wa kuwatafutia ndugu zetu Wamasai makazi mapya ili kuilinda hifadhi ya Ngorongoro. Hili jambo lilileta mjadala mkubwa sana miongoni mwa jamii yetu ya Watanzania.
Wapo waliopinga kuhusu mpango wa serikali na pia...
Huwezi kuchanganya pamoja watu wanaoongeka idadi na wanyamapori wanaongezeka idadi kwenye eneo moja lisiloongezeka ukubwa milele. Kuendelea kufanya hivyo ni kuminya uhuru wa watu na wanyama hao.
Kama ilikuwa sahihi miaka mingi iliyopita haiwezi kuwa sawa Sasa na hata kesho na kesho kutwa...
Zipo kaya zaidi ya laki moja, wakazi zaidi ya 150,000, mifugo zaidi ya milioni moja, lkn tunachoona ni lori moja limebeba ng’ombe 20 na coaster 3 zimebeba wakazi wasiozidi 50, tunajiuliza mifugo yao mingine wameiacha wapi na wakazi wengine wapo njiani wanaelekea Msomera kwa miguu? haiwezekani...
Binadamu tunapenda mno kulalamika, haswa sisi tunaojulikana kama raia wa nchi ya Tanzania. Huwa hatuna dogo hata siku moja ni mwendo wa malalamiko.
Zipo video zinazozunguka mitandaoni zikiwaonyesha wamasai wakihama kwa ridhaa yao wakielekea makao mapya huko Handeni. Wamejengewa nyumba na...
Serikali imefanikiwa kweli kuhamisha wamasai kutoka eneo lao la asili walilo zaliwa na kupelekwa maeneo mapya bila ya wao kupenda.
Ni wahakikishie kwamba kuhamisha Watanzania kupisha wawekezaji hakutaishia Ngorongoro pekeee na kwa sasa bench mark itakuwa ni Ngorongoro, kwamba kule ilifanikiwa...
Kwenye Hifadhi za Taifa, ukiachana na Zoo, huwa kuna vibao vimeandikwa Dont feed birds or animal. Kwamba usiwalishe ndege na wanyama wengine na ni kosa kubwa sana ndani ya hifadhi kuwatupia hata nyani ndizi.
Hii ni suala la kisayansi zaidi na sio suala la kiusalama kwamba unaweza kuwalisha sumu...
WATANZANIA hatuko tayari kupaza sauti kuwatetea wachache mnaopigania kuiharibu NGORONGORO kwa faida na ubinafsi wenu bila kuyatizama maslahi mapana ya TANZANIA leo na kesho
Na badala yake tutawashaurini kuondoka ili maisha yaendelee kwanini mnatetea kuishi porini ambapo kuwepo kwenu...
Huwezi kubagua watanzania wenzetu kwa historia ya miaka 2000 iliyopita. Huyu ni mbumbu kabisa.
Mbona Wahehe walitokea huko kusini mwa Afrika na walevi kama watu wa Zimbabwe mbona hatuwabagui
MASWALI TATA WAMASAI WA LOLIONDO KUTIBIWA KENYA.
Wakati kukiendelea na sintofahamu ya wanaharakati kutuhumiwa kutumika kushirikiana na viongozi wa eneo jirani linalopakana na Loliondo kuhamasisha vurugu kushambulia polisi waliokuwa wakilinda mpaka na kusimamia wanaoweka Beacons kiasi Cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.