Kama IGP Wambura ataendelea kufanya vitu kisiasa ni bora apelekwe naye ubalozini. Hatutaki siasa kwenye Polisi. Huko Musoma shughulikia zaidi badala ya kungojea viongozi wa siasa huu ni udhaifu
Kukamata Watu (hasa Vijana) haraka haraka na Kuwahisi ndiyo Panya Road kisha Kuwaua sidhani kama ni Usahihi na Uweledi hasa katika Kuwamaliza hawa wahalifu.
Mataifa yote yenye Majeshi ya Polisi yanayojitambua huwa hayakurupuki Kuua Mhalifu / Wahalifu bila ya kumfanyia / kuwafanyia Interrogation...
Watatu wafia mikononi mwa Polisi K’njaro, Dodoma
SATURDAY SEPTEMBER 17 2022
Summary
Matukio ya watu kufa wakiwa mikononi mwa Polisi, yameendelea kushika kasi kufuatia vifo vilivyotokea katika mikoa ya Kilimanjaro na Dodoma hivi karibuni, huku jeshi hilo mkoani Kilimanjaro likithibitisha...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura ametoa onyo kwa wahalifu wote kwani wakati huu ni wakati mbaya sana kwao.
Wambura ameyasea hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma leo ljumaa Septemba 16, 2022 kwenye kikao cha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad...
Poti wangu IGP Wambura Mimi GENTAMYCINE nimeamua leo Kukuambia hili mapema baada ya Kugundua kuwa 95% ya hawa Vijana Wahalifu waliobatizwa Jina la Panya Road wanajulikana na Mapolisi wako na hata Vituoni ila Wanalindwa na hata baadhi ya Askari wako Wanafaidika nao.
Haiingii Akilini Polisi wa...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura amefanya mabadiliko madogo ya kuwahamisha baadhi ya Makamanda wa Polisi, ambapo amemhamisha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ulrich Matei ambaye alikuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya kwenda Makao makuu ya Polisi Dodoma na nafasi...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camillus Wambura amefanya mabadiliko madogo kwa baadhi ya makamanda wa Polisi wa mikoa.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Ijumaa Agosti 12,2022 na Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime imeeleza kuwa katika mabadiliko hayo, Kamishna Msaidizi wa Polisi...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camillus Wambura, ameahidi kushughulika na yeyote ambaye atakuwa na vitendo vyovyote ambavyo ni kinyume na maadili na kinyume na matendo mema ya Watanzania.
“Nitoe rai kwa mtu yeyote ambaye anadhani anaweza akaleta aina yeyote ya vitendo vya uvunjifu wa...
Nimejawa na furaha kuona mtu makini ndani ya Jeshi la Polisi mwenye uzoefu na weledi anakabidhiwa majukumu makubwa ya kuliongoza Jeshi letu la Polisi. Hakika CAMILIUS WAMBURA ni mtu sahihi mno.
Wengi wetu tunaofuatilia utendaji wa Jeshi la Polisi nchini tulitegemea mabadiliko kufanywa hususani...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefanya mabadiliko katika Jeshi la Polisi.
Aliyekuwa IGP Simon Sirro ateulikuwa kuwa balozi nchi Zimbambwe.
Wakati huo huo amefanya mabadiliko ya Makamanda wengine kama inavyoonesha hapa chini
[emoji116][emoji116]
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Leo Tar 30/05/2022 mtangazaji nguli wa Radio free Africa MTANI WAMBURA kwenye kipindi chake Cha alfajiri, amezungumzia kitendo Cha watanzania kujijengea taratibu ya Ukabila na Udini:
Ni ukweli usiyopingika Tanzania ya Leo siyo Ile aliyoicha Baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere,Sasa hivi Ukabila Ni...
DGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP)
Chanzo kinadokeza kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Diwani Athumani Msuya anaenda kuondolewa na anaandaliwa kuwa Mkuu wa Polisi Tanzania (IGP)
Aidha, inaelezwa kuwa yeye na Wambura Camilius ni miongoni mwa...
Tunaendelea kupata simulizi za kusisimua toka kwa Tundu Lissu ikiwa ni sehemu ya kumbuizi ya miaka 4 tangu kufanyika kwa jaribio baya lililoshindwa la kutaka kumuua kwa risasi za kivita lakini likimwacha nusu mfu tarehe 7/9/2017....
Shukrani kwa madaktari wa hospitali ya mkoa wa Dodoma...
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Camillius Wambura amedai kuwa uchunguzi uliyofanywa na Jeshi la Polisi umebaini kwamba Hamza Mohammed alikuwa gaidi wa kujitoa mhanga.
Hamza aliuawa na polisi Agosti 25, mwaka huu baada ya kuwaua kwa risasi askari wanne, watatu kati yao wa...
Huyu naye ni wa hapa hapa Sinza kwa Remi, ana bastola lakini ana akili kama za yule aliyeua, msijesema hatukuwaambia, enyi polisi, huyu hutoa silaha hadharani na kutishia.
Habari wanajamvi
Kwanza nichukue fursa hii kumpongeza sana RC Makalla kwa kauli yake leo juu ya uhalifu na ujambazi unao endelea jiji la Dare-es -saaam kwa kuwataka jeshi la polisi kuwapora haraka silaha majambazi kabla hawajazitumia.
Ni ukweli ulio wazi majambazi wameanza kutishia amani na...
Afande sina cha kueleza, taarifa zinajitosheleza hapa chini!
Tukio la kusikitisha limetokea leo mchana maeneo ya Juliana Mbezi beach ambapo Jimson Kibiki amefariki baada ya kupigwa risasi.
Kutokana na vyanzo vya mashuhuda Jimson alivamiwa alipokuwa ametoka bank na kuporwa na majambazi kiasi...
SACP CAMILIUS WAMBURA KAMANDA KANDA MAALUM DSM
===
INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro amefanya mabadiliko madogo kwa baadhi ya viongozi ndani ya Jeshi la Polisi ambapo amemhamishia Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Lazaro Mambosasa kutoka kuwa kamanda wa polisi Kanda...
Hivi hawa wasanii wanaojitokeza eti wanataka kuwania ubunge wanajipima kweli? Kwakuwa wameona wanaweza kupata dezo kutokana na upuuzi unaoendelea ndani ya CCM kwa sasa basi wameona sehemu ya wao kupata mpunga wa laini laini ni kwenye ubunge! Hovyo kabisa kabisa
Sasa wamegeuka watu wa kusifia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.