Katiba ya Warioba ishakulinda wewe, ishakutoa kwenye lawama, kwamba wewe hulaumiwi na CCM sababu hii ni katiba waliyoitaka watanzania. Lakini, kwanini huwatakii mema wafaidika wa mwanzo wa Katiba hii, ndugu zako Wanzibari? Sisi ndio tutafaidika mwanzo sababu sisi tumefungwa jela, tumefungwa...
Wakazi wa Sinza tunawaomba uongozi wa juu kuchukua hatuola stahiki kwa uongozi ulipo sasa kuanzia ngazi ya Diwani kuja hadi serikali za mitaa kwakuwa wameshindwa kusimamia zoezi la uzoaji taka majumbani kwa ukamilifu.
Tangu mwezi wa 11 mwishoni 2023 hadi leo kuna maeneo mfano Sinza c uchafu...
Anonymous
Thread
kila nyumba
kuondoa
nyumba
sinza
uchafu
wameshindwa
zabuni
Ni kweli wameshindwa kabisa kugundua dawa ya kutibu Ugonjwa wa Ukimwi au wana maslahi na ugonjwa huu?
Kwa miaka mingi tangu ugonjwa huu ulipogundulika kumekuwa na taarifa nyingi zenye utata kuhusu tiba yake,
mara tiba yake inafanyiwa uchunguzi na majaribio lakini hadi leo bado ni kizungumkuti...
Heri ya mwaka mpya watu wangu wa nguvu. Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi. Naomba niseme kuwa huu ndio uzi wangu wa kwanza kwa mwaka huu wa 2024. Sikuwa nimepanga kuweka uzi hapa JF mapema hivi ila imenibidi nifanye hivyo baada ya kupokea ujumbe huu wa onyo kwa njia ya WhatsApp...
Hii inashangaza sana. Yaani wanakula mishahara ya bure tu.
Wameshindwa kabisa kutatua kero za wananchi?
Msemaji wa chama anahusika vipi na kero za wananchi?
Kauli za raisi wa Ukraine na kamanda wake wa majeshi hazitii shaka kuwa vita vya Ukraine karibu vitaisha kwa kushindwa Ukraine.
Hayo yamepaikana katika machapisho ya CNN tarehe 3 Novemba baada ya kuhojiana na viongozi hao wakuu katika kuongoza vita vyao na Urusi.
Kwa mtazamo wa muandishi wa...
Leo hii CCM hawajibu hoja za wapinzani(Labda ni nyepesi) wako bize "Kuijibu" serikali ya awamu ya tano.
Kwa sasa mpinzani mkubwa wa CCM ni serikali ya awamu ya tano, na kidogo wanaharakati. Hawana muda kabisa na hoja za wapinzani.
Upinzani umekuwa nyanya kiasi hicho hadi CCM wanatafuta...
Ukistaababu kunguni wa UDOM utayaona mazito ya barani Ulaya hasa Ufaransa ambako kunguni wametamalaki hadi ndani ya vyumba vya ikulu.
Wazungu ndio wanajiona mababa wa sayansi. Waundaji na watengenezaji wa silaha hatari za kumwangamiza binadamu ndani ya sekunde moja tu.
Lakini pamoja na umwamba...
Waweza kumfundisha kasuku aseme hana uwezo na ukamzawadia zabibu kumuashiria kafaulu mtihani nae akajiona kichwa, basi ndivyo ilivyo kwa IT wetu wa Tz wanafunzi wa vyuoni na wahitimu kibao, vyeti wanavyo na wengine wana ufaulu mkubwa sana lakini hawana uwezo wa kutatumia maarifa hayo lau kutumia...
Hakuna wakati muafaka Kama huu kwa chama Cha CHADEMA kwenda kuwekeza nguvu Zanzibar. Sababu zangu kwa ombi Hilo ni zifuatazo.
1. Kwanza, Kwa Sasa harakati za kisiasa Zanzibar zimepoa baada ya Maalim seif Kuondoka duniani. Hivyo kwa Sasa upinzani Zanzibar hauna political figure kama ilivyokuwa...
Ni vijana wa chuoni waliofunga vyuo na kwa sasa tupo nao,
Wapo wanaosoma computer engineering, computer science, IT, ICT , n.k
Ni vijana ambao mdomoni wapo vema sana kwa kujaa misamiati ila kwa vitendo ni sifuri.
Wengine wameweka picha za wale hackers waliovaa ma pull over sura hazionekani...
Salaam,
Ndugu zangu kuna habari nimeona inasambaa kwa kasi Twitter ikidai kwamba Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limeshindwa kwenye kesi yake na IPTL -Independent Power Tanzania Limited.
Taarifa hiyo inadai TANESCO yashindwa kesi Marekani na kutakiwa kuilipa IPTL billioni 320!
Je kuna...
Mimi ni Mkatoliki, nikianzisha mjadala unaopinga Mkataba wa DP World kuhusu Bandari yetu basi naitwa mdini, naambiwa mimi mkatoliki sipendi waislam! Huu ndio ujinga gani?
Yaani mnashindwa kujubu maswali muhimu ya wananchi mnaanza kuita watu ni wadini? By the way mtu ambaye anatafasiri kila...
Nimechukizwa sana. Yaani mtaani hakuna amsha amsha hakuna lolote kwenye mitandano ni Simba na Kibegi. Huu ni ujinga sana.
Sisi Yanga tumejikuta tunacheza ngoma ya Simba. Mwananchi Day haijulikani itakuwa lini. Kote wanajadili jersey za Simba tu. Huu ni ukanjanja wa waandishi wa habari...
CDM ni chama chenye uuchwara mwingi sana, na wala siyo chama cha maana. Lakini kwenye uuchwara huo nashangaa wameshindwaje kuwateka wakulima ukiaangalia jinsi mkulima wa nchi hii anavyoteseka. Asilimia 70 ya watz wanategmea kulima, lakini sera na harakati za CDM zinawagusa kidogo sana. Watu...
Documents zilizoliki za Pentagon zimeonesha kuwa wanajeshi wa vikosi maalumu toka Marekani, Uingereza, na nchi nyingine za NATO wapo uwanja wa vita Ukraine wakipigana na masecurity guards wa Urusi (wargner group).
Cha kusikitisha na kuhuzunisha ni kuwa kwa zaidi ya mwaka sasa vikosi hivyo...
Nimeona kwenye group moja la Telegram mdau anauliza hili swali. Tumeshindwa kujibu.
Wadau nani amewahi enda Dodoma kwa IST toka Dar? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi?
Au
*Nani amewahi fanya safari ya Dar to Babati kwa IST? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi?"
Uamuzi huo umetajwa kuwa ni kwa sababu za kiusalama, Serikali ikiamini kuwa taarifa za muhimu zinaweza kuchukuliwa na Serikali ya China
Mwakilishi wa Baraza la Mawaziri, Oliver Dowden amesema hiyo ni tahadhari.
TikTok imekanusha vikali madai kuwa imekuwa ikitoa taarifa za wateja wake kwa...
Utata umeibuka kuhusu kifo cha mwanafunzi wa kidato cha nne wa shule ya sekondari iliyoko Pasua, Manispaa ya Moshi, Walter Ebenezer, anayedaiwa kushambuliwa kwa mateke kwenye mbavu na mwalimu wake kisha kupewa adhabu ya kupiga ‘push up’.
Kutokana na kifo hicho, ndugu wa mwanafunzi huyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.