Bila shaka mko poa,
Kufuatia mapokezi ya mgeni mjini usajili wa namba "E" kuna wamiliki wa namba za nyuma hususani "D" ambao kwa namna moja au nyengine mngependa kuuza gari zenu kwa ajili ya kuhamia namba "E" au kwa sababu tofauti.
Nitawatafutia wateja wa gari husika kutokana na network ya...
Katika nyakati hizi tofauti na nyakati za nyuma kidogo, dunia imejaliwa kufanya gunduzi mbalimbali za sayansi na tekinolojia ikiwemo gunduzi bora kabisa za vyombo mbalimbali vya usafiri ikiwemo pikipiki. Vivyo hivyo kwa Tanzania usafiri huu wa pikipiki maarufu kama boda boda umeleta ufanisi...
Nipende kuipongeza serekali yetu tukufu kwa kubuni kodi ya upangishaji hasa hasa ikiwalenga wenye majengo ya kimakazi au ya kibiashara hakika hapa kulikuwa na fedha nyingi mno zilizokuwa zinapotea na kulikosesha taifa letu mapato stahili na halali.
Ispokuwa ombi langu ni kwamba ingelipaswa...
Suala la unyanyasaji wa mtandaoni limekua suala kubwa sana lenye madhara mengi kwa wahanga wakiwemo watoto na vijana ambao ndiyo watumiaji wakubwa wa mitandao hii hususani mitandao ya kijamii.
Madhara haya yamekua moja kwa moja katika afya yao ya akili na kusababisha kushindwa kushirikiana na...
Kuishi kwingi ni kuona mengi.. Nimeona mengi yakibadilika kwenye ununuzi wa magari..
1. Enzi hizo watu waliokuwa kwenye circle yangu hakuna aliyenunua gari kwa mkopo.. Gari tulidunduliza hela mpaka tukavuta..
2. Magari yetu ya kwanza almost 85% yalikuwa ni pick ups.. Hakukuwa na mnunuzi wa...
Incenerator ni Mtambo utumikao kuteketeza taka. Mitambo ya aina hii ni maarufu sana kutumika kwenye Mahospitali na Viwandani, ila pia ipo Mitambo mikubwa na midogo kwa ajili ya kutumika majumbani.
Ukizunguka kwenye Miji hii mikubwa kama Jiji la Dare Es Salaam, Arusha n.k lazima utakubaliana na...
Jana jioni kupitia Radio one nimemsikia Muwakilishi au Kiongozi wa Wamiliki wa Usafirishaji Dar akiongea kwa jazba sana kulalamikia nauli kutokupanda kwa namna ambavyo wangetamani.
Bwana huyu alienda mbali zaidi na kuwalaumu sana LATRA kuwa ndio wanaowaangamiza wao Wamiliki wa Vyombo vya...
Mamlaka ya Mapato (TRA) imefuta adhabu na riba kwa vyombo vyote vya moto vilivyoingizwa nchini bila kufuata taratibu za forodha, huku wamiliki wakitakiwa kusajili rasmi vyombo vyao hadi kufikia Juni 30, 2022.
TRA imesema lengo la hatua hiyo ni kujenga ushirikiano na uhusiano mwema kati yao na...
Nitoe wito kwa wamiliki wa vituo vya redio na luninga kuwa watuondolee mbali hao wachambuzi wa soka uchwara.
Kuna wachezaji kibao wa zamani ambao wangetuchambulia soka kwa kutumia weledi na Siyo ushabiki. Wapo kina Sunday Manara, Zamoyoni Mogela, Boniface Mkwasa na watu wa aina Yao waliowahi...
Kwa ufupi ni kuwa yule dada wa kinigeria alimpenda mlinzi wa kimakua na akaona haiwezekani kulala mwenyewe ila baadae akamgeuka, na walifikishana mpaka kwa mkuu wa wilaya ili kusuluhisha.
Lakini yuke binti wa kiniger akagoma mpaka alipwe kitita cha US dollar 10,000 takribani 23.5mil ili...
Jeshi la Polisi limefanikiwa kumkamata Sophia Musa (28), mkazi wa Toangoma ambaye ndiye mpokea maombi ya kutengeneza kadi toka kwa boko na baadae kumpelekea Ibrahimu Ally (31) mkazi wa Buguruni ambaye hufanya kazi ya kudurufu kadi hizo za Pikipiki.
Katika katika upekuzi watuhumiwa hao wamekutwa...
Yaani inawezekana vipi dakika hizi hizi 20 mnazotupa tukiwa tumesimama Mombo au Msamvu au Singida Sisi Abiria wenu tuweze kuzigawa Kiustadi kwa Kula, Kukojoa na Kunya wakati tukifika tu haya maeneo tunakuwa Abiria wengi na waliotutangulia pia Kihuduma?
Kwani mkisema tu kuwa muda wa Kula na...
- Uso kwa uso
-Huwezi Amini
-Atoboa siri
Watupiana maneno
Afichua mazito
Yani unaweza kuta kichwa cha habari ni X ila ukianza kuangalia anachozungumza mtu ni Y.
Pia picha zina editiwa ili kudanganya watu waminye hio video.
YouTube ni ajira, kuna mfumo wa malipo na hili lipo wazi kabisa, kwa...
Nimekuwa nikiona sana kuna kukosekana kwa uelewa juu ya utofauti wa mtu aliejiajiri (self employed) na mmilliki wa biashara (cusiness owner)
Mtu aliejiajiri ni mtu anaefanya shughuli zake yeye mwenyewe kwa asilimia kubwa ili kuzalisha kipato, mfano ni mangi mwenye duka, mtu mwenye duka anaeuza...
Kuna kitu nimeona wamiliki wa mabasi ya abiria wanajisahau kuhusu service za magari yao. Wengi wanajikita kwenye injini, spring na mabush tu lakini hawajali kabisa service za ndani ya mabasi na bodi kwa ujumla ambazo ni sehemu muhimu kwa abiria zitakazo wafanya wapende kusafiri na mabasi yenu...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amewataka wamiliki wa vyombo vya habari Tanzania kuhakikisha wanalipa tozo za muziki unaopigwa katika redio zao ili kuwawezesha wasanii kupata haki zao.
Bashungwa amesema hayo jana Ijumaa Septemba 3, 2021 wakati akizinduzi kituo...
Nimeona clip moja ya Gwajima eti anamwita baba yake miaka 87 na kumlaghai aseme kwamba ana mwamrisha mkwe wake asitumie jina lao.
Hakuna mtu binafsi ambaye anamiliki jina na koo yoote .
Haya majina ya koo yalikuwepo miaka mingi sana na wengi hata hawajui yametokea wapi. Hakuna mtu ambaye ni...
Habari za muda huu wana jf,
Natumaini ni wazima wa Afya njema na mko salama kabisa, Nitaenda moja kwa moja juu ya mada yangu
Ulimwengu unakua kwa kasi kubwa sana huku teknolojia ikiwa msitari wa mbele kabisa katika kuongoza ukuaji wa dunia.
sasa ni kitu gani kwa watu wa shule binafsi mnaweza...
Nunua spare za Magari, tembelea kwa elimu ya spare zamagari kutoka nje jinsi yakuagiza namna yakusafiri nakuchagua spare,Agiza na;
Macha Dubai used car spare parts MWANANYAMALA KOMA KOMA KARIBU NA CRDB BANK
Kwamawasiliano calls&whatsApp +255742662669
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.