Kama ambavyo niliwapa habari awali juu ya zoezi la Uandikishaji kwenye Daftari la wapiga kura Mkoa wa Kusini Unguja kuanzia tarehe 08/03/2025 hadi tarehe 13/03/2025; zoezi ambalo Jeshi la Polisi lilikuwa na dhamana ya ulinzi na Usalama wa vifaa, watendaji wa Tume, mawakala wa vyama, wananchi...
Chama cha wazee Tanzania watangaza ziara ya kuzunguka nchi nzima lengo kuu la ziara hiyo ni kusajili wanachama wapya lakini pia ni kupinga ukatili wakijinsia hii ikiwa ni kuunga jitihada za waziri lakini pia jitihada za mheshimiwa Raisi wajamuhuri ya muungani wa Tanzania
Mimi nafuatilia sana Siasa za Jimbo la Arusha Mjini, Jana nimemsikiliza sana diwani mmoja akimuomba radhi Mkuu wa Mkoa wa Arusha akijifanya analilia kama mtoto wa kike aliyenyimwa Kodi ya pango na bwana wake akidai kuwa Gambo amekuwa mtu wa mizozo na migogoro na madiwani wenzake.
Eti amemuomba...
https://youtu.be/5Y7PcWedUNE?si=nXAlvjXG1G6V-4Mu
KWANINI NO REFORMS, NO ELECTION?
Ni kwa sababu:
1. Kwa utaratibu wa kisheria, kikanuni, kikatiba na wa kiserikali, uchaguzi salama usioambatana na mauaji, huru, wa wazi na haki hauwezekani tena kufanyika ktk nchi hii..
2. NO REFORMS, NO...
Kutokana na mapenzi ya mtu ikiwa wampendaye akihama chama,akifa au kushindwa uchaguzi chama kitatetereka kutokana na kusujudu mtu na si katiba,misingi na itikadi. Hii ni kwa vyama vya upinzani lakini Ccm wao baadhi kujifanya wafuasi wa mtu ni kujipendekeza ili wapate teuzi na chakula na Ccm...
WAKULIMA KIRIMA BORO WATAKA EKARI 37 ZIREJESHWE KWA WANACHAMA
MOSHI
Wanachama 71 wa Chama cha msingi cha ushirika(AMCOS)cha Kirima Boro wilaya ya Moshi Mkoani Kilimanjaro wamepaza sauti wakimuomba Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya makazi kurejeshwa kwenye chama hicho Ekari 37 ambazo...
Huwa tunajiuliza kwanini Tatu Malogo, Amina Kyando hawa mabinti Huwa wanapewa mechi za Simba?
Licha ya kufanya makosa ya kujirudia lakini Huwa bodi ya ligi haikomi kuwapa michezo ya Simba
Hawa Wanachama watiifu wa Simba sports club
Pia Mzee wetu Rage japo aliwapa jina zuri Wanachama wa Simba...
Naam, hili wala halina ubishi. Katika watu ambao hawawezi kukwepa lawama katika kuvuruga chama cha Mapinduzi na hatimaye kuiweka nchi katika sintofahamu na kupelekea nchi kukosa muelekeo ni huyu JK.
1. BIFU LAKE BINAFSI NA EL LILIVURUGA CCM.
Kila mtu anakumbuka jinsi EL alivyokatwa katika...
Wakuu habari za mchana, wakati joto la uchaguzi likizidi kupaa kuna hii notion imekuwa ikirudiwa rudiwa na Team Mbowe.
Kwanza walianza campaign team ya Mbowe, akafuata Mbowe mwenyewe kwenye mahojiano na gazeti la mwananchi na sasa imerudiwa na mashabiki wake hapo mlimani City.
Video hapo...
Nawashauri watokee wanachama wa TLS wajitokeze hadharani kumkosoa Rais WA TLS wa sasa ili tuone nini kitatokea.
Naandika hivyo kwa sababu yeye mkosoaji mkubwa wa viongozi wa chadema waliopo madarakani dhidi ya kundi la Lissu.
Hii itatupa tumpime uwezo wake ktk masuala ya uongozi
Kila anayepingana na mtizamo wa Yeriko Nyerere anaonekana kama siyo mwadilifu na hana nia njema na chadema.
Yeriko anaamini anavyotambua yeye kampeni zilipaswa ziwe na elementi ya heshima kwa Mbowe. Anashindwa kutambua kwamba madaraka ya kisiasa siyo kubembelezana na kusifiana.
Hata Mbowe...
Kuna watu wanajifanya wanaipenda Simba lakini hadi hawajachangia hata sumni halafu wao ndio wanajiona mastaa wa kuisemea Simba, ukiwaona mitaani ama uwanjani wanajifanya wao ndio Simba kweli kweli lakini kwenye kuchangia timu wako mbaali.
Timu yetu imewasilisha hoja ya kuchangia adhabu...
Hili nitalielezea kwa ufupi sana ila naomba ujumbe uwafikie wahusika na wawajibike.
Kuna haka kamtindo na katabia ka baadhi ya wanachama wa Simba, nimewahesabu wawili mpaka sasa ambao wana mtindo wa kujitokeza na kutoa taarifa za klabu ya Simba kabla ya taarifa rasmi kutolewa na klabu yenyewe...
Ni wazi ukomavu wa kisiasa na kidemokrasia ndani chama cha demokrasia na maendeleo chadema, miongoni mwa wanaogombea uongozi wa kitaifa, wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema taifa wanachama na mashabiki bado haijapevuka vizuri mioyoni na kwenye fikra zao.
Shari inayombatana na masharti juu ya...
Baada kusoma taarifa nyingi na maoni mbalimbali za Chadema, Mbowe anaonekana ni king'ang'anizi kama kupe wanachama hawamtaki wanamuona mzigo kama vurushi la nnya lakini hataki kutoka kwa heshima anasubiri ang'olewe kwa aibu na Tanganyika Jeki mtu wa aina hii hafai akiingia ikulu ataigeuza...
MAONI YANGU
Tuna uzoefu mkubwa wa watu kuitikia michango inayoitishwa na Chadema katika kushghulikia wanachama/wapenzi wanaopata madhira kwa sababu ya kuwa upinzani. Tumeona ushirikiano mkubwa kutoka watu kufikisha kiasi fedha kinachihitajika kumlipia fine wanaokuwa wamebambikiwa kesi na...
Naona sasa mwaka wa Uchaguzi umewadia na mambo yamekuwa mengi kweli kweli.
Wanasiasa wengine wanaenda kutafuta malisho ya kijana kibichi
===================
Wanachama 18 wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA, Wakiwemo Viongozi wa jumuiya mbalimbali za chama hicho Halmashauri ya Ushetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.