Ni kweli CCM ilikuwa na wanachama wengi kupita maelezo na kwa sasa kusema kweli imepoteza nguvu na wanachama waliobaki ni waganga njaa ,sio wenye imani kama ilivyozoeleka,
Leo hii CCM imefikia kutegemea Tume ya Uchaguzi ambayo ni lazime iwe inatokana na wao kwa maana isiwe Tume huru, wanajua...