wanachama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Nimeshtuka sana baada ya kuona wanachama kindakindaki wa ACT na CHADEMA wakijiunga na CCM. Hongera Dkt. Samia kwa kuwarejesha kundini kondoo

    Mimi binafsi ni mdau mkubwa sana na muumini mzuri wa siasa za CCM na mara nyingi napenda sana kutembea kwenye matawi ya CCM kujua yanayoendelea. Katika kipindi cha wiki moja tangu lile zuio la kutofanya mikutano ya hadhara ya kisiasa kutenguliwa nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu kujua mtazamo...
  2. Z

    Kama usalama wa nchi wanachama hauzingatiwi kikamilifu siioni Jumuiya ya Afrika Mashariki ikidumu

    NATO ina kipengele kwamba nchi mwanachama ikivamiwa lazima nchi zote za NATO wampige adui kwa pamoja Kwenye EAC, tungeweka kipengele kwamba : ikiwa nchi mwanachama itavamia nchi yoyote ndani ya Jumuiya au kushirikiana na kikundi cha uasi ndani ya EAC ,basi nchi hiyo itakuwa imekosa sifa ya...
  3. M

    Kafulila: Lissu acha kuzipaka matope Mahakama za Tanzania, unataka kutuambia US & China ambao nao ni wanachama wa ICSID Mahakama zao zinaingiliwa?

    Wasalaam wana wa Mungu. Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu, David Zacharia Kafulila, amekosoa vikali kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu A Lissu kuhusu kesi iliyopelekea kukamatwa kwa Ndege yetu na Kesi zingine mashauli yazo kushughulikiwa kwenye Mabaraza ya Usuluhishi ya kibiashara...
  4. Zitto: Vikao na Wanachama wataamua tubaki au tutoke SUK

    Kauli ya Zitto imetokana Rais Mwinyi kumteua Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), ambapo chama hicho kinapinga kwa madai alihsika kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020. Kiongozi huyo wa ACT Wazalendo, amesema kabla ya kuingia Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) walienda kwa wanachama na...
  5. Kujenga na kupanga ni vitu viwili tofauti, ACT Wazalendo mmewaaibisha wanachama wenu

    Ni AIBU kwa CHAMA kinachotafuta Ukubwa wa kuwa Chama Kikuu cha Upinzani licha ya kuwa SIO cha UPINZANI kuwahadaa Wanachama wake na Watanzania kwa ujumla kuwa Kimejenga Jengo lake Wakati WAMEPANGA nyumba ya Mtu. Kama kwenye Jambo Dogo kama hili la Jengo wanadaganya Je Wakipewa Nchi Watadanganya...
  6. L

    CHADEMA yapoteza ushawishi mitaani. Sare zake hazivaliki

    Ndugu zangu miaka kadhaa iliyopita hakika chama hiki kilijizolea umaarufu mkubwa Sana hasa kwa kundi la vijana, Vijana walijiona fahari Sana kujiita makamanda, vijana wengi hasa wa vyuo vikuu na vyuo vya Kati walikuwa mtaji mkubwa Sana wa chama hiki, Hakika vijana walikuwa na hamasa kubwa Sana...
  7. Nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa wakataa kuyatambua majimbo ya Ukraine yaliyochukuliwa na Urusi

    Ni waz putin wameshamchoka ameshindwa kila sehemu ,china naona kamkacha kiaina. Nchi wanachama wa U.N wamepiga kura ya kutoyatambua majimbo yaliyochukuliwa kiharamu na dicteta putin. Ni nchi 5 tu ndizo zimeungana na putin. Africa hakuna aliyemuunga. CNN ===== Strong majority of countries...
  8. Ushauri: Wanachama wa NSSF wasajiriwe NHIF

    Naipongeza Serikali kwa kuja na mpango wa Bima ya afya kwa wote. Pamoja na kuwa na wazo zuri lakini utekelezaji kama jambo lolote kubwa utakuwa na changamoto. Na moja ya changamoto yake ni kiwango cha fedha kwa kwa mchangiaji mwenye familia kwa kuzingatia hali halisi ya kipato. Kutokana na...
  9. Idugunde: Tusipotoshe umma wafuasi na wanachama wa CHADEMA hawatetei majambazi wala uhalifu. Criminal justice must prevail

    Kwenye ukweli basi ukweli uwekwe wazi. Hakuma mtanzania anyependa uhalifu. Kama jambazi ana silaha na anakiwa mkaidi kutii basi huyo ni halali ya polisi. Lakini inasikitisha kusikia kuwa mtuhumiwa alikamatwa nyumbani kwake na mpaka binti yake na yeye wakavuliwa nguo ili wafanye mapenzi kisa tu...
  10. Wazo la Tozo Mpya: Wanachama wa siasa na Mawaziri

    Habari Tanzania! Leo napenda kutoa wazo kwa ajili ya kulijenga Taifa letu kwa umoja na ushirikiano wa hali ya juu. Naomba kupendekeza wazo la tozo mpya ; Tozo ya Kwanza: Tozo itoke kupitia wanachama wa vyama vyote vya siasa tulivyonavyo hapa nchini. Mfano, kila mwanachama wa chama cha siasa...
  11. J

    Shaka: Zaidi ya wanachama milioni 2 wamejitokeza kuomba kuteuliwa kugombea nafasi mbalimbali

    Ni dhahiri kabisa CCM ndio Chama kinachoongoza kwa kupendwa na kuaminiwa zaidi na Watanzania walio wengi. Ushahidi wa wazi ni idadi hii kubwa ya Wananchi wanaotaka kukiongoza chama hiki pendwa zaidi kusini mwa jangwa la Sahara. #KARIBU CCM CHAMA CHA WAJANJA WAADILIFU
  12. M

    Mashabiki na wanachama wa simba Matumaini yao makubwa wameyaweka kwa Al hilal kumtoa yanga

    Ni wazi kwamba mashabiki na wanachama wa simba wameweka matumaini makubwa kwa Kuisifia Al hilal jinsi itakavyomtoa yanga na wanakwenda mbali zaidi kuapa ya kwamba ndo mwisho wa yanga awatoboi, lakini nafikiri wasichokijua hii ni yanga ambayo aijaingia kwenye hii michuano kwa kubahatisha, yanga...
  13. Wanachama wa kamati ya usalama Urusi wakiri "special operation" imeshindikana

    Wameona hamna namna, itangazwe moja kwamba taifa la Urusi lipo kwenye vita rasmi dhidi ya Ukraine ili raia wahusishwe maana kinachoendelea pale Ukraine ni aibu, wanajeshi wao wanauawa huku wakitoroka mapambano. ============== A member of Russia's State Duma Security Committee has suggested...
  14. M

    Mashabiki na wanachama wa Simba hawajaumizwa na matokeo bali wanaumizwa na timu inavyocheza

    Nafikiri kuna point muhimu wanayo mashabiki na wanachama wa simba nayo ni namna timu inavyoperform uwanjani. Wanachezaje, je wanakosa matokeo dhidi ya timu ya aina gani, ni hoja ya msingi sana wanayo, usajili waliofanya kmc na walioufanya simba auendani na uhalisia wakiwa uwanjani. Kufungwa...
  15. Mkurugenzi wa Shell: Mgogoro wa nishati utakuwa kipimo cha umoja wanachama EU. Bei yapanda mara 30(3,000%)

    Mkurugenzi wa Shell, Ben Van Beurden ameitahadharisha Ulaya inaweza kuhitaji kugawanya nishati kwa miaka kadhaa kwani mgogoro uliopo una kila dalili ya kudumu zaidi ya kipindi kimoja cha baridi. Maoni ya Mkurugenzi huyo anaeongoza kampuni kubwa zaidi barani Ulaya ya mafuta na gesi yanafatia...
  16. National Alliance for Mass Advancement(NEMA), chama kilichonyimwa usajili kwa kuogopwa wanachama wake

    National Alliance For Mass Advancement(NEMA) Nimeingia Maktaba na nimekuta picha ambazo nilipiga mimi mweyewe kwa mkono na jicho langu ukumbi wa Arnautoglu miaka 28 iliyopita. Ilikuwa siku ambayo msajili wa vyama anahakiki wanachama wa NEMA. Leo asubuhi naziangalia picha hizi nacheka peke yangu...
  17. NSSF yajivunia trilioni 7.3 ukusanyaji wa michango ya wanachama kwa mwaka wa fedha 2022/2023

    Kiasi cha shilingi Trilioni 7.3, katika mwaka wa fedha 2022/2023, kimekusanywa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii, (NSSF) ambapo fedha hiyo inatokana na michango ya wanachama wa mfuko huo. Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo Bw.Masha Mshomba wakati akitoa...
  18. Baada ya Rais Hersi na Mhamasishaji Manara kuwa na 'Hatiani' huu ndiyo Uwezo wa mwisho wa Kufikiri wa Mashabiki na Wanachama Wao

    "Tunaomba sababu ni kwanini katika Tamasha letu la Citizens Beauty Beauty Day hakuna hata Kiongozi Mmoja wa TFF aliyekuja. TFF inatunyanyasa mno na ina Chuki na Sisi" wamesema Wasio na Akili FC. Yaani Viongozi wa TFF waache kuwa busy na Ugeni wa CAF na Mkutano Mkuu utakaofanyika Arusha waje...
  19. J

    Shaka Hamdu Shaka : Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wanaohitaji Ubunge wa EALA "East African Legislative Assembly "sasa ruksa kuchukua fomu.

  20. Mbeya: Wanachama 7 wa CHADEMA walioswekwa Rumande waachiwa huru

    Wanachama Saba wa Chadema wa Mkoani Songwe waliobambikiwa Makosa ya uongo wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020, yaliyotengenezwa kinafiki na watu waoga walioshindwa hoja za majukwaani, na kurundikwa Jela kwa uonevu KWA MUDA WA ZAIDI YA MIEZI 18, Leo wameachiwa huru kutoka Jela na Mahakama Kuu kanda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…