Wachambuzi wa uchwara wa hapa JamiiForums na wengine wa mitandao wanaweweseka kila kukicha hawapati taarifa kutoka kwa Yanga. Wanajaribu kutunga habari za kizushi ili waende mjini lakini hawafanikiwi.
Yanga ndio club kubwa Tanzania, wewe jiulize Azam na Simba wametambulisha wachezaji wao lakini...