wanafiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. OKW BOBAN SUNZU

    Katibu Mkuu CCM ampiga dodoki Paul Makonda

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Daniel Chongolo amesema aliyekua Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alifanya kazi kubwa wakati akiwa Mkuu wa mkoa ya kujenga Ofisi za Chama hicho Kinondoni na Kigamboni. “Ni lazima tutambue kuwa aliyekuwa Mkuu wetu wa Mkoa wa Dar es salaam (Paul...
  2. Suzy Elias

    Uzuri wa Chadema ni wanafiki!

    Leo wanajifanya kumponda sana Magufuli huku wakitambua wazi huko kwa wananchi wa kawaida jina Magufuli ni turufu mno kisiasa. Sasa basi,ifikapo 2024 kila rangi ya Chadema na watu wake watahamia kumsifia Magufuli kwa kigezo kilekile cha kujishindia kura huku wakimsifu kwa mema yake na watadai...
  3. Mtu Asiyejulikana

    Katika hili Sakata nimegundua Hiphop kwa wa Tanzania siyo Uhalisia, haina issue na pia Waimbaji ni wanafiki

    Zamani nlikuwa namwona Fiq Q ni mmoja ya wasanii wanaojielewa....nlidhani kichwani ana akili. Fid Q kama upo humu. Kwa kweli nlikuwa namkubali sana.. Ila hili sakata la Steve Nyenyere limenishtua ni kunifanya nigundue kumbe hamna kitu kichwani. Yaani kwa Mistari ya Fid Q ilivyo ya kigumu ya...
  4. mirindimo

    Usije ukalogwa wanamaombi wakajua jambo lako

    Usije ukalogwa wana maombi wakajua jambo lako kanisani hasa wana maombi wa KKKT , waambie siri zako kesho unazikuta zinazagaa mtaani. Sasa mtu ana manifest na mapepo yanaongea nyie mnaenda kutangaza tunzeni siri za watu jamani hasa pale Kimara. Punguzeni mdomo sio sawa kabisa.
  5. Kichwamoto

    Sitarajii Polepole kuapishwa kesho, ukibisha ungana na timu wahuni

    Tunajua alijua tarajio hili au la namna hii na alijiandaa. Asituangushe amuenzi Magufuli kwa dhati ya Mungu wake. Fedheha ni mbaya akatae. Polepole huwa hayumbishwi na ufalme wa duniani chini ya jua. Hiari ni hiari tu tugange yajayo. Ukimtegemea Mungu ufalme wa duniani hauna tija. Malawi...
  6. PendoLyimo

    CCM wamjulia hali Joseph Haule (Profesa Jay) Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo (Leo) Alkhamis, Februari 10, 2022 akiwa ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka wamemjuilia hali aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mikumi mkoani Morogoro na msanii nguli wa kizazi kipya...
  7. LICHADI

    Paul Makonda amenifundisha jinsi watu walivyo wanafiki

    Kipindi Paul Makonda akiwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Jiji zima likikuwa lake yaani alikuwa kama mfalme wa Dar maana alijiamini kupitiliza sababu aliyemteua alimvimbisha kichwa akajiona amefika Enzi hizo Paul alikuwa na wapambe kila kona, wasanii wote walimuita Baba, Wcb wakamuita mlezi wao...
  8. GENTAMYCINE

    Tusipotezeane muda! Ukweli ni kwamba 'Ulidanganywa' na 'Wanafiki' kuhusu Kabudi na Lukuvi, ila sasa 'Unatuzuga' na 'Kujikosha' tu Kwao

    Siku chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kusema kuwa atamvuta Ikulu aliyekuwa Waziri wa Ardhi, William Lukuvi, leo Januari 13, 2022 Rais Samia amesema kiongozi huyo atakuwa akisaidiana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kusimamia sekta zenye migogoro baina ya viongozi. Chanzo: Habari Leo...
  9. GENTAMYCINE

    Wabunge wa JMT msipompa 'Uspika' Dkt. Tulia Ackson hakika 'nitawadharau' mpaka dunia itakapopinduka

    GENTAMYCINE sijawahi Kukosea ama nikimpenda au nikimchukia Mtu (na hata rekodi zinanibeba) hivyo hata kama Watu wanachukua Fomu za Kugombea Uspika ila kwa Vigezo vyangu vingi na Sababu zangu nyingi namuona Naibu Spika Dk. Tulia Ackson anafaa na ndiyo Chaguo sahihi hasa kwa Bunge la sasa na...
  10. GENTAMYCINE

    Safi sana Kipa Johora kwa kuwakomesha leo Wanafiki Wakubwa Yanga SC na Kukubali Kufungwa Kiulaini zile Goli 9 za Penati Zanzibar

    Yaani wameshakudharau kwa kukuletea Kipa Mwenzako Msheli ambayo Kwako bado ni Kinda na hata hakufikii Kiuzoefu halafu muda mwingi huwa hudaki na leo wasivyo na hata na aibu wakata ukawabebe katika Mikwaju ya Penati na Wewe ukawa unaruka Ushahidi tu. Johora Mola kakulipia Machungu yako.
  11. wakatanta

    Mkanganyiko wa kauli ya Mzee Mangula, Rais Samia, Waziri Mwambe na ya Hayati Magufuli inaonyesha Mradi wa Bandari ya Bagamoyo ni ‘White Elephant’

    Huu mkanganyiko wa kauli za hawa viongozi waandamizi wa chama na serikali kuhusu bandari ya Bagamoyo inaonyesha kuna madudu sana ndani ya terms of contract,na hii inatokana na baadhi ya viongozi wachache waliolenga kujinufaisha na mradi huo . Rejea jinsi dharura iliyotumika kupitisha miswaada...
  12. BAK

    Kundi la Wanafiki laibuka kutaka Ole Sabaya aonewe huruma

    Baada ya jambazi Lengai Ole Sabaya kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela, limejitokeza kundi la WANAFIKI wanaotaka Sabaya aonewe huruma. Lakini ni watu haohao walikaa kimya Sabaya alipovunja miguu vijana wa Chadema kule Hai. Ni watu haohao waliokaa kimya Sabaya alipomkata sikio mtoto wa diwani...
  13. Kamanda Asiyechoka

    Watu wasiokunywa pombe na kuchangamana na watu, kwa nini ni wanafiki sana?

    Watu wa aina hii hufanya kazi kwa majungu na kusengenyana. Huwa hawajiamini na mara nyingi hutegemea majungu ili kumjua mtu. Mara nyingi hata uwezo wao wa kupiga mzigo/ perfomance ni mdogo bali hutegemea majungu ili kusurvavive. Hupenda sana kuona watu wanafarakana makazini.
  14. Jidu La Mabambasi

    Watanzania tusiwe wanafiki, Tozo ni muhimu kwa upana wake

    Unafiki unatumaliza Watanzania. Kodi zilizokuwa zikitozwa na serikali ya Awamu ya Tano kwa wafanyabiashara na wajasiria mali, wengi waliitikia wakisema mafisadi hao au wahujumu uchumi. Kipindi cha Awamu ya Tano uonezi mwingi wa kupora, kunyang'anya, kubambika kodi na hata watu kuwekwa ndani na...
  15. M

    Wale Wanasimba SC Wanafiki kama Haji Manara na mliokuwa mkimtetea wakati wenye Akili tulishamshtukia mnahama nae au?

    Wengine tulikuja na Threads za kila aina hapa JamiiForums za Kumsema Haji Manara huku tukiwa na Taarifa za Kutosha tu kuwa alikuwa ni Msaliti ndani ya Simba SC tukadharaulika na Kupuuzwa hatimaye leo tumegeuka kuwa ni Mashujaa na huenda hata tunastahili Tuzo za Heshima. Haya wale wana Simba SC...
  16. T

    Vyombo vya habari vya Marekani na Ulaya ni wanafiki sana

    Nawaza, hivi ingekua Taliban wamechukua nchi kipindi cha Trump sijui ingekuaje, hiyo bado image ambayo Trump angepewa haina mfano. Lakini kwa kuwa alieko madarakani ni kibaraka wao, wanajitahidi kwa kila namna kuficha udhaifu huu mkubwa aliouleta na kuitia aibu Marekani kwa kuachia nchi kwa...
  17. Roving Journalist

    Yaliyojiri JamiiForums Space kuhusu Maambukizi ya COVID-19 na Utoaji Chanjo Tanzania

    Jamii Forums inakukaribisha kushiriki kwenye Mjadala kuhusu Maambukizi ya #COVID19 pamoja na Utoaji wa Chanjo nchini Tanzania Mjadala huu unafanyika Agosti 6, 2021 kupitia Twitter Spaces (JamiiForums) kuanzia Saa 12 jioni na utahusisha Wataalamu wa Afya watakaozungumzia Masuala anuani kuhusu...
  18. GENTAMYCINE

    Baada ya 'Kulikoroga' na kuona hapati 'Sapoti' ya Wanafiki wengi, hatimaye Haji Manara apanga Kuomba Radhi na Kuwaaga Wana Simba SC

    Taarifa ikufikie popote ulipo kuwa muda wowote ule kuanzia sasa aliyekuwa Msemaji wa Simba SC Haji Manara anapanga Kuzungumza na Vyombo vya Habari Kuwaomba Radhi na Kuwaaga Wana Simba SC wote. "Mimi ni Binadamu sijakamilika na siyo Malaika hivyo yawezekana nina Mapungufu yangu na kuna...
  19. Kijogoodi

    Anthony Diallo aomba radhi kwa waliomuelewa vibaya kauli yake ya 'Viongozi waliopita walikuwa na Matatizo ya Akili'

    Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza, bwana Anthony Diallo amewaomba radhi watanzania kwa kauli zake alizozitoa kuwa viongozi wa Serikali waliopita walikuwa na mafaili mirembe. ======== Diallo: Mimi nadhani ufafanuzi unatosha, nawataka radhi wale ambao walinielewa vibaya, kuna kunielewa...
  20. S

    Enyi Wana-CCM, Rais Samia Suluhu anafahamu jinsi mlivyo wanafiki na vigeugeu

    Mama siyo hamnazo (empty set ama clean slate) ana ufahamu na anawafahamu wanaccm. Anajua kwamba ninyi si watu wazuri, kwa unafiki na ukigeugeu hamjambo. Kwa namna mlivyo geuka (u- turn) kutoka kuunga mkono sera za ukandamizaji za Magufuli hadi kuunga mkono sera za uungwana. Hakika nawaonya mama...
Back
Top Bottom