Leo wanajifanya kumponda sana Magufuli huku wakitambua wazi huko kwa wananchi wa kawaida jina Magufuli ni turufu mno kisiasa.
Sasa basi,ifikapo 2024 kila rangi ya Chadema na watu wake watahamia kumsifia Magufuli kwa kigezo kilekile cha kujishindia kura huku wakimsifu kwa mema yake na watadai...