Mamia ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Gambia (UTG) jana Oktoba 26, 2026, waliandamana wakipinga kuzorota kwa mazingira ya masomo, changamoto za upatikanaji wa chakula na huduma duni za intaneti.
Waandamanaji hao walikusanyika katika chuo hicho kilichopo Banjul, mji mkuu wa Gambia, wakilalamikia...