Serikali imeendelea kuchukua hatua madhubuti kuimarisha mazingira ya ujifunzaji kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum nchini, kwa kuboresha miundombinu wezeshi katika shule za msingi na sekondari. Lengo ni kuhakikisha wanafunzi hao wanapata fursa sawa ya kusoma fani wanazozipenda bila vikwazo vya...
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Dkt. Aneth Anselmo Komba, amesema kuwa taasisi hiyo imefanikiwa kuweka mazingira jumuishi ya kujifunza kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum kwa kuhakikisha wanapata vifaa na nyenzo sahihi za kujifunzia na kufundishia.
Mafanikio ya Elimu...