Bunge la Tanzania limetunga Kanuni mpya za mwaka 2023, ambazo zimeweka adhabu kwa waandishi wa habari na masharti ya namna ya kupiga picha ndani ya ukumbi wa Bunge.
Kanuni hizo ambazo zimechapishwa katika Gazeti la Serikali (GN) ya Machi 21, 2023 zimeeleza maeneo yanayoruhusiwa kupiga picha na...
Na Bwanku M Bwanku.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema amewaeleza wanahabari kwamba Serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imefanya mambo makubwa sana kwenye maeneo yao hivyo wao wana jukumu kubwa la kueleza mambo hayo kwa wananchi ili...
Waandishi wa habari wawili kati ya wanne walioshikiliwa baada ya kusambaa kwa video ikionesha suruali aliyovaa Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir Mayardit ikiwa imelowa hadharani ikitafsiriwa kuwa alikuwa akitokwa na haja ndogo wakati wa kusikiliza Wimbo wa Taifa.
Jumuiya ya Waandishi wa Habari...
Takriban wanahabari 14 na wafanyakazi wa vyombo vya habari wamezuiliwa, kunyanyaswa, au kushambuliwa wakati wakiripoti uchaguzi mkuu wa Nigeria, akiwemo mmiliki wa tovuti binafsi ya habari ya WikkiTimes Haruna Mohammed Salisu, ambaye bado anashikiliwa na polisi bila kufunguliwa mashtaka...
Moja kwa moja..
Nimecheki hii video nimeamini huyu jamaa ni jeuri sana halafu anajiamini .Ila lafudhi ya kingereza chake hata akisimamishwa na mimi niliyesoma pangu pakavu tia mchuzi mimi nitaonekana nimesoma IST au muingereza kabisa .
Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa UNESCO limesema kuwa Mauaji ya waandishi wa habari na wafanyakazi katika vyombo vya habari yaliongezeka mwaka 2022 kutoka 55 na kufikia 86 kote ulimwenguni, hiyo ikiashiria kifo kimoja katika kila siku nne.
==== === ===
UNESCO reported...
Katibu wa NEC- Itikadi na Uenezi wa CCM Ndugu Shaka Hamdu Shaka leo Jumamosi Januari 14, 2023 Saa 11 Jioni atakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam.
#CCMImetimia
#KaziIendelee
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amezungumzia uamuzi wa Rais Samia Suluhu kuruhusu mikutano ya siasa ya vyama, ambapo amewatahadharisha Wanahabari juu ya mikutano hiyo.
Nape amesema “Rais amefungulia mikutano ya hadhara, ni matumaini yangu Wanahabari wa...
Kiongozi wa Muungano wa Waandishi wa Habari wa nchini humo, Patrick Oyet, ameripoti kuwa Wanahabari 5 wanashikiliwa na Idara ya #UsalamawaTaifa kuanzia Januari 3 na mmoja kuanzia Januari 4, 2023.
Shirika la Uangalizi wa Waandishi wa habari la Committee to Protect Journalists (CPJ) limetoa wito...
Bilionea Elon Musk amezifungulia akaunti za Waandishi wa Habari wa New York Times, CNN na Washington Post waliofungiwa baada ya Musk kuwashutumu kuwa walishare taarifa zake binafsi mtandaoni
Elon aliweka Kura ya Maoni kuuliza kama akaunti hizo zirejeshwe na asilimia 59 ya watu milioni 3.6...
Waziri wa habari, Nape Nnauye akizungumza kwenye kongamano la habari leo, tar. 17, 12, 2022 lenye kauli mbiu isemayo, habari kwa maendeleo endelevu.
Nape amesema, rasilimali za Taifa kutumika vibaya ni kwasababu wanahabari wamefumba macho, hawatumii kalamu zao kuibua ubadhilifu.
Amesema...
Waziri Nape amesema msiba wa Joachim Kapembe aliyefariki akishuka Mlima Kilimanjaro umemfanya afikirie kuhusu maisha ya familia ya muandishi huyo.
Akiwa katika Kongamano la maendeleo ya sekta ya habari amesema mwaka 2023 serikali itaweka nguvu nyingi katika kuboresha maslahi ya waandishi wa...
Hadi kufikia Desemba 1, 2022, Wanahabari 363 walinyimwa Uhuru wa Kazi yao duniani kote ikiwa ni kiwango kipya cha juu zaidi kwa 20% kulinganisha na mwaka 2021.
Kwa mujibu wa Ripoti ya Kamati ya Kulinda Waandishi wa Habari (CPJ), Waandishi wa Habari wasiopungua 56 walifungwa barani Afrika mwaka...
Waandishi wa habari wa CNN NA SKynews wamevuliwa wadhifa kwa kuripoti kutokea mji wa Kherson unaotajwa kukombolewa na Ukraine. Ukiacha waandishi hao mashirika mengi mengine ya Ukraine na nchi za nje yamewakemea waandishi wao kwa kosa hilo hilo.
Kisingizio kilichotolewa na mashirika hayo ni...
Waandishi wa Habari mkoani Mwanza wakiwa kwenye mkutano wa tathimini ya chanjo ya UVIKO 19 na Uhuru wa Kupata Taarifa ulioandaliwa na Taasisi ya Internews na kuratibiwa na MPC.
Waandishi wamehimizwa kuendelea kuandika habari chanya za kuelimisha wananchi ili kupata chanjo muhimu ikiwemo ya...
Mahakama moja nchini Rwanda Jumatano imewaachilia huru waandishi wa habari watatu ambao walikuwa wanazuiliwa jela kwa miaka minne kwa madai ya kueneza habari za uongo, kesi ambayo ilitajwa na makundi ya kutetea haki za binadamu kama uzushi.
Wanahabari hao watatu, Damascene Mutuyimana, Shadrack...
Hadi kufikia Alhamisi Septemba 29, 2022, Shirika la Kimataifa la Kutetea Waandishi wa habari (CPJ) limerekodi kukamatwa kwa waandishi wa habari wasiopungua 28 nchini Iran wakati wa maandamano ya nchi nzima kupinga kifo cha Mahsa Amini.
Mapema wiki hii, CPJ ilitoa wito kwa mamlaka za Iran...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kimeitisha Mkutano na Waandishi wa Habari, tarehe 20/09/2022 , Saa 5 Asubuhi kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho, zilizoko nje ya Jiji la Dar es Salaam huko Kinondoni, Mtaa wa Ufipa.
Wote Mnakaribishwa.
Khabari za Juma Mgunda na Nabi kuwa hawana sifa za kuwa kwenye benchi la ufundi la simba na Yanga wakati wa mechi za CAF zilisambaa kama moto wa nyika unavyosambaa haraka na kuunguza kila kitu bila huruma.
Wachambuzi na wanahabari wetu uchwara waliumbuka sana safari hii baada ya Mgunda na Nabi...
Baada ya Rais Mteule William Ruto kuzungumza na wanahabari muda mchache uliopita, Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) anazungumza na wanahabari muda huu
Fuatilia hapa sasa
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imesema hukumu ya Mahakama ya Juu ni ushahidi kwamba mchakato wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.