Leo katika kipindi cha magazeti cha Radio Free kurasa za michezo mdada kanisitua baada ya kusema 'Ansufati anatabiri timu yake kuchukua ubingwa wa ligi ya England', akisema habari hiyo ni ya gazeti la Uhuru.
Juzi kwa maana ya Jumapili, tumecheza na timu ya Levante tukiwa nyumbani na kuwafunga 3...