wanajeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MBOKA NA NGAI

    Wanajeshi wakuu kupandishwa kizimbani huko DRC

    Viongozi wa ngazi za juu jeshini nchini DRC, waliokimbia Goma na Bukavu, wataanza kujitetea mahakamani kuanzia leo tarehe 13 March 2025 na mahakama kuu ya jeshi. Wanakabiliwa na tuhuma za kuachia maeneo ya nchi(kutokua wazalendo), huko Goma na Bukavu; Wanatuhumiwa kumuachia adui silaha,risasi...
  2. Mungu niguse

    Ni sababu zipi huwa zinapelekea wake wa wanajeshi kutokuwa wachoyo?

    Hakuna wanawake ambao sio wachoyo Kama wake wa wanajeshi
  3. MBOKA NA NGAI

    Baadhi ya wanajeshi wa SADC warudishwa nchi wanazotokea, kupitia Rwanda

    Mida ya saa moja kasoro robo, leo hii tarehe 24 Februari 2025, badhi ya wanajeshi wa SADC waliokuwa Goma, kwenye mission ya SAMIDRC, wamepitia mpaka mkubwa wa Goma na Rubavu, wakirudi makwao. Ni baada ya kuwepo DRC kulisaidia jeshi la serikali ya Congo (FARDC) kukabiliana na kundi la M23...
  4. MBOKA NA NGAI

    Badhi ya wanajeshi wa Afrika Kusini kurudi kwao leo.

    Pichani, ni maandalizi ya jeshi la Polisi nchini Rwanda,mpakani mwa Rwanda na DRC. Eneo hili ndo watapitabadhi ya wanajeshi wa Afrika Kusini, na kupekuliwa, ili waendelee na safari yao,kuelekea uwanja wa ndege wa Kanombe huko Kigali.
  5. MBOKA NA NGAI

    Polisi na wanajeshi wa FARDC wajiunga na M23

    Kwa hiali yao,askali Polisi 2,100 na wanajeshi 890 huko Kivu kusini, wameamuwa kutoka walikokuwa wamejificha na kukubali kujiunga na M23 kwa hiali. Akiongea nao Gen Byamungu, amewashukuru kwa uamzi huo, na kuwaomba wawe watulivu,kwamba wao ni raia wa Congo, na tatizo halipo kwao bali kwa...
  6. Pdidy

    South Africa wapeleka wanajeshi zaidi 700-800 na VIFAA Vizito vya kivita kupambana na M23

    BAADA ya WANAJESHI WAO kuuwawa na M23 South Africa imetuma WANAJESHI zaidi ya 700 na VIFAA vizitooo Imeomba nchi za SADC na EAC kushirkiana kuuondoa MAGAIDI WA M23 wakiachwa wataenea Africa nzima USHAURI tu wapendwa Hawa n majangili magaidiiii Pale mnapoweza kupambana nao pambaneni nao...
  7. MBOKA NA NGAI

    Burundi kurudisha wanajeshi wake waliosalimika

    Baada ya makundi mengine kutangaza kujiunga, kuongeza nguvu ili rais wa Burundi aondolewe madarakani; Huku pia waasi wake RED TABARA wakiwa tu umbali wa kilometa 76 kutoka walipo sasa M23, Rais ameagiza wanajeshi wake hao warudi nchini. Wanaorudi, wanafikia katika bonde la RUSIZI, kwa...
  8. MBOKA NA NGAI

    Wanajeshi 212 wahukumiwa kifo huko Kivu kusini

    Mahakama ya kijeshi, huko DRC, Kivu kusini, leo tarehe 14 Februari 2025, imewahukumu wanajeshi 212 kifo, baada ya kukutwa na hatia ya kukimbia adui,kosa lililotafsiriwa kuwa ni usaliti wa kiapo. Mbali na hukumu hiyo, wote wametakiwa kulipa faini ya dola za kimarekani, laki mbili. Mashitaka...
  9. Waufukweni

    Mwandishi arekodi video kuonesha Wanajeshi wa DRC walioshindwa na M23 wanavyoishi kwa tabu Goma

    Mwandishi UMUTONI Adeline arekodi video kuonesha Wanajeshi wa DRC walioshindwa na M23 wanavyoishi kwa tabu Goma
  10. MBOKA NA NGAI

    Tetesi: South Africa yatuma wanajeshi wengine DRC kukabiliana na M23

    Wakati nchi wanachama wa SADC na EAC wakikubaliana kuhakikisha amani inapatikana mashariki mwa Congo, taarifa za chini chini zinaeleza kuwa wanajeshi kati ya 700 na 800 tayari walishawasiri nchini Congo kuongezea nguvu jeshi la serikali hiyo. Chanzo cha habari, Reuters, kimesema kwamba, ndege ya...
  11. The mission 2017

    Wanajeshi wa Rwanda wanakufa kwa wingi, Pamoja na Serikali ya Rwanda kukana uwepo wa majeshi yake DRC

    Habari wana bodi. Kutoka Vyanzo vya habari vya The guardian, Wanaandika yakua Rwandan troops wanakufa kwa wingi, wanasafirishwa na kuzikwa kwa siri sana hapo Rwanda. Pia kinaeleza kua wazazi wa hao wanajeshi hawapewi taarifa za kina juu ya vifo vya watoto wao ila wanaambiwa "they died in a...
  12. A

    Wanajeshi wa Rwanda wanapukutika kama kumbikumbi Congo.

    Pamoja na kwamba Rwanda inaedelea kutoa sapoti kwa M23 nchini DRC, inakadriwa hadi sasa Rwanda imepoteza zaidi ya wanajeshi 2000 katika mapigano yanayoendelea. Rwanda imekuwa ikifanya siri na kupiga marufuku wananchi wa Rwanda kuchapisha taarifa za vifo vya wanajeshi wake mitandaoni. The...
  13. enzo1988

    Zimevuja! Wanajeshi wa Rwanda wanakufa sana huko DRC!

    Wamejitahidi sana kuficha lakini wapi! Rwandan troops ‘dying in large numbers in DRC’, despite official denials of role Exclusive: Sources say thousands of RDF killed supporting M23 rebels in eastern Congo, intensifying pressure on Kigali...
  14. Marie Antoinette

    M23 yaituhuhumu MONUSCO kuwaachia huru badhi ya wanajeshi na waasi wa FDLR

    Msemaji mkuu wa M23, Lawrence kanyuka, ametangaza kukamatwa kwa watu 5, 3 wakiwa wanajeshi wa FARDC(jeshi la Congo) na 2 wengine wakiwa wanamgambo wa FDLR. Watu hawa walikamatwa na bunduki 4 na mambomu ya kurushwa kwa mkono. Katika kuhojiwa, walisema walikuwa katika kambi ya MONUSCO mjini humo...
  15. MBOKA NA NGAI

    Burundi yaongeza wanajeshi Kivu Kusini

    Nchi ya Burundi, inayohusika na vita vinavyoendelea mashariki mwa Congo, kupitia makubaliano ya ushirikiano kwa mambo ya kisalama, kuanzia Septemba 2023, na hili jambo liliifanya Burundi kuwa mshirika mzuri kikanda. Burundi imeweza kupeleka nchini Congo wanajeshi wapatao elfu 10 kulisaidia jeshi...
  16. Minjingu Jingu

    Baada ya kuona hali tete Korea Kaskazini yaondoa Wanajeshi wake Mstari wa Mbele huko Ukraine

  17. T

    Bunge la Afrika Kusini, lamhoji waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi kilichowapeleka wanajeshi wa nchi hiyo DRC

    "IT IS NOT A PEACEKEEPING MISSION, IT IS AN OFFENSIVE MISSION". Wabunge wa Afrika Kusini walipokuwa wakiongea na waziri wa ulinzi na mkuu wa jeshi la South Afrika, wameonekana kutofurahia kitendo cha badhi ya watu kuamuwa wenyewe kupeleka wanajeshi nchini DRC, kwa kisingizio cha kulinda amani...
  18. Marie Antoinette

    Kagame hafahamu kama wanajeshi wa Rwanda wako nchini DRC

    Rais wa Rwanda, Paul Kagame amesema hajui kama wanajeshi wa nchi yake wako Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ambako mapigano kati ya kundi la waasi la M23 na wanajeshi wa Congo yanaendelea. Sehemu kubwa ya Jumuiya ya Kimataifa inaamini kwamba Rwanda inaunga mkono waasi wa...
  19. R

    Mbona mapema sana, Siku 3 baada ya Rais wa Mexico kuishupazia shingo Marekani kakubali kutuma wanajeshi elf 10 mpakani kudhibiti madawa na wahamiaji

    Trump aliweka kodi asilimia 25 kwa bidhaa zinazotoka Mexico kama adhabu ya wao kutotia mkazo wa uvushaji wa madawa na wahamiaji haramu kuingia Marekani, Rais wa Mexico hakutaka kuonekana mnyonge akamwaga mboga kwa kuweka kodi asilimia 25 kwa bidhaa zinazotoka Marekani (Tit for Tat), Ni siku ya 3...
  20. Mwamuzi wa Tanzania

    Kinachowapeleka wanajeshi wetu Congo na kwingineko kulinda amani ni pesa na si kingine

    Tanzania ni mshiriki wa jumuia kadhaa za kimataifa na kikanda. Hivyo tumesaini mikataba kadhaa wa kadhaa kwa shinikizo la mabwana zetu. Hao mabwana zetu ambao hugharamia Kila kitu tunapokwenda Congo, Sudan na kwingineko kulinda amani. Pia kwa kufanya hivyo tunapokea misaada ya zana za kivita Ili...
Back
Top Bottom