Ndugu zangu Watanzania,
Kwa masikitiko makubwa na uchungu mkubwa taarifa zinadai kuwa tumepoteza mashujaa wetu wawili wa JWTZ waliokuwa wakilinda amani Nchini Congo.
Vifo hivyo vimetokea kutokana na mashambulizi yaliyofanywa na M23.
Tutawajibu kikomandoo na watajuta . askari wetu wamekufa...
Awali kulikuwa na taarifa za mateka wa Kitanzania kwa muda mrefu vikafanyika vikao vya dharura vya SADC ikawa bila bila.
Juzi rais wa Burundi anasema anapigana pia kusaidia ndugu zake wa Tanzania huku BBC idhaa ya kiswahili iliripoti kuwa idadi ya askari wa liouawa na M23 ni kutoka Afrika...
Nimekuwa nikifuatilia Clip nyingi za wanajeshi maporini huko DR Congo asilimia kubwa wanatumia Kiswahili
Waasi wanatumia kiswahili
Wa DR Congo wanatumia kiswahili
Na wengine wengi majirani wanatumia kiswahili.
Hawa jamaa wanalugha zao za asili ambzao sio Kiswahili. Kwa nini Kiswahili ?
Wanajeshi wa DRC wamekimbia uwanja wa mapambano na kuamua kujikabidhi kwa mahasimu wao, yani jeshi la Rwanda.
Baada ya kuona hivyo, wanajeshi mamluki zaidi ya 280 toka Romania na Ufaransa waliokodiwa na serikali ya DRC kuwasaidia kwenye maeneo ya kuongoza drones za kivita, snippers na...
Chama cha ACT Wazalendo inaitaka Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoa taarifa rasmi kuhusu hali ya usalama ya wanajeshi wetu walioko katika operesheni za kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
Hii inafuatia taarifa za hivi karibuni za kuongezeka kwa...
Wanajeshi wa Rwanda wanawahudumia wanajeshi wa Kongo wanaokimbilia Rwanda, ambao ni majeruhi wa vita. Jana, walipewa chakula, maji, na juisi. Licha ya yote, hawaonyeshi hasira wala kinyongo kwa kile ambacho serikali yao imewaambia.
Rwandan soldiers are treating Congolese soldiers fleeing to...
Amani iwe kwenu watumishi wa MUNGU
Nimechoka kabisa jeshi la nchi limeikimbia nchi na kuwaachia wananchi msala
Wanajeshi wa kongo wamekimbilia Rwanda na kupokelewa kama wakimbizi hii ni hatari sana aisee
SAYUNI BOY
Wemefariki wakiwa wanaitetea Goma.
M23 walijaribu kuwafanyia mashambulizi kwa siku 2 ila hawakufanikiwa kusogea zaidi.
Hongera na rest in peace kwa mashujaa hawa
Wanaukumbi.
Hamas: Within the framework of the prisoner exchange, the Al-Qassam Brigades decided to release the following female soldiers tomorrow, Saturday, 01-25-2025:
1-Soldier Karina Arif
2-Soldier Danielle Gilboa
3-Soldier Ne'ma Levy
4- Private Leri Elbag
Hebrew Media:
The list of names...
Takriban wanajeshi 1,000 wa Korea Kaskazini wameuawa na 3,000 kujeruhiwa wakati wa vita vya Urusi dhidi ya Ukraine katika kipindi cha miezi mitatu.
Korea Kaskazini inaaminika kutuma wanajeshi 11,000 kusaidia jeshi la Urusi kuwaondoa wanajeshi wa Ukraine walioko eneo la Kursk kusini magharibi...
Tukio hilo lilitokea tarehe 13 Januari 2025 karibu na kijiji cha Velikiy Soldatskoye, Mkoa wa Kursk. Wanajeshi watatu wa Jamhuri ya Watu wa Korea Kaskazini (DPRK) waliwaua wanajeshi watano wa Brigedi ya 810 ya Majini. Walitangazwa kuwa wahalifu wanaotafutwa."
Hii ilikuwa Published...
Wakati makombora yanarushwa kutoka Gaza kuelekea Israel, Jeshi la Israel huwa wanawaisha raia kwenda kwenye mahandaki.
Hamas hali ipo tofauti, huwa wanakimbilia kwenye mahandaki na kuwaacha raia watajijua wenyewe
WHY ???
Wanaukumbi,
Wakili aliyewasilisha kesi hiyo kwa niaba ya taasisi hiyo, Maira Pinheiro, alinukuliwa na vyombo vya habari vya Brazil akisema kwa vile Brazili imetia saini Mkataba wa Roma, inawajibika kuhakikisha kuwa uhalifu uliotolewa katika sheria hiyo (uhalifu wa kivita, uhalifu dhidi ya...
Wanajeshi wa Uingereza wanaacha kazi ya jeshi bila sababu za msingi,licha ya mshahara mzuri wanaolipwa,sababu. Ni Nini?
UK soldiers quit in thousands despite Labour's pay rise
Soldiers are quitting the British Armed Forces at an alarming rate, despite a pay rise over the summer, Report informs...
Takriban wanajeshi 100 wa Korea Kaskazini wameuawa katika mapigano katika vita vya Ukraine tangu waingie kwenye mapigano upande wa Urusi mapema mwezi huu, mbunge wa Korea Kusini amesema.
Lee Sung-kwon, akizungumza na waandishi wa habari baada ya bunge kupewa taarifa na Idara ya Kitaifa ya...
Shirika la Habari la Serikali ya Syria,SANAA limeripoti kwamba,Msafara wa wanajeshi kadhaa wa Urusi pamoja na vifaa vya kijeshi vimeanza kuondoka nchini Syria.
Video kadhaa zimeonesha msafara wa magari ya kijeshi ikiwemo mifumo ya ulinzi wa anga aina ya S-300/400, Vifaru aina ya T-64 na Magari...
Wanaukumbi Moscow anaomba msaada kwa Mturuki baada ya kuzingirwa na vikosi vya waasi.
==========
Russian troops have requested Turkey’s support for their safe exit from Syria following a lightning Islamist-led offensive that resulted in regime change, CNN Turk reported Sunday. The broadcaster...
Lakini wadau tusishabikie sana, ikumbukwe hao waasi pia ni makatili wa ile dini na wanaweza wakawa wabaya hata kuzidi wanaokimbia, yaani popote kwenye hiyo dini ni laana, mauaji, chuki na vifo jameni....na wote wanaamini wanafanya kwa ajili ya 'mungu' wao....
===================
Iran Begins to...
Siku ya Leo muda sio mrefu, waasi wa HTS wamefanikiwa kuiteka mji wa Homs ikiwa ni baada ya Jana kuuchuka mji wa Hama. Kwa Sasa kazi iliyobakia ni kuchukua mji wa Damascus.
Kwa wiki nzima hii nimekuwa nikiona vikosi vya jeshi wakitembea mtaani hapa Tabora, wakiwa wameshika bunduki, wakitembea kwa mstari, ukipita maeneo ya kule Ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wao ndio wamezagaa mule ndani na ndio wanaofungua na kufunga mageti.
MIsururu ya magari yao inakatiza, hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.