Lakini wanatumia akili wapo makini, hawaingii kichwa kichwa kama Warusi walivyofanya Kyiv na kuangukia pua, hawa wanaingia kiaina yaani kikomando, na mpaka sasa wako Gaza ndani wanasukumiza kichapo.
Inabidi kutumia akili maana magaidi ya kidini sio wapiganaji wa kawaida, lazima utumie ukomando...