Wamediriki na wamefanya....jeshi lao liko mpakani na Belarus, Putin alibwatuka mikwara na vilio ila ndio hivyo ashakua mzee wa kupuuzwa....
POLAND has sent troops to their border with Belarus to face off the growing threat of Wagner forces amassing on the Nato nation's eastern flank.
Vladimir...
Majeshi ya Bara la Ulaya, America, Mashariki ya Kati na Mashariki ya mbali huwa hayana Upuuzi wa Kuficha au Kuwaficha Wananchi wa Nchi zao Taarifa za Kuuwawa kwa Wanajeshi wake katika Ambush wakiwa Vitani au katika Misheni za AU au UN.
Ila kwa Bara la la Afrika Majeshi yao hupenda sana kuficha...
To be honest lijapo umakini, nidhamu na hata mwonekano Wanajeshi wa Rwanda wapo mbali sana!
Mwanajeshi wa Rwanda mda wote awapo kazini ni mtu makini na mzingatifu na bila kusahau hupendeza kwa uniform safi kabisa!
KAMWE HUWEZI KUKUTA UNIFORM ZA YULE ZIMEPAUKA AMA ZA HUYO ZIPO VILE. WOTE...
Kuna Baa Tatu maarufu zilizoko sehemu tofauti tofauti Wilayani Kinondoni Wamejazana kiasi kwamba Tanzania ingekuwa na Waasi au Magaidi na Bomu Kutupwa waliko hivi sasa Jeshi na Tanzania lingekuwa linaomboleza Vifo vya Wanajeshi wake wapatao Tisini ( 90 ) waliokuwa Wakilewa ( Wakigambeka ) katika...
Walinda amani wa Tanzania kurejeshwa nyumbani kutokana na madai ya utovu wa nidhamu CAR
9 Juni 2023Haki za binadamu
Mpango wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (MINUSCA) chenye makao yake makuu mjini Bangui, kimetangaza uamuzi wa Sekretarieti, kuwarudisha...
Walikua wanasubiri hotuba ya kuwatia hamasa, maskini hawakujua satelite inawaona.
===========
As many as 100 Russian troops gathered for a motivational speech near Ukraine’s eastern frontline may have been killed in a strike earlier this week, prompting fury among Russian military bloggers...
Huyu mzee hehehe eti ndiye tegemezi la Warusi na anavyofyatuka.... asema hizo ni ndoto za mchana
Russia's claims that its military had inflicted massive casualties on advancing Ukrainian troops are "wild fantasies", the boss of Russian mercenary group Wagner said Tuesday.
Moscow's defence...
Haya yamesemwa na kiongozi wa Wagner, ambaye kila siku anatoa matamko baada ya kukimbia mapambano ya Bakhmut
June 2 (Reuters) - Russian mercenary boss Yevgeny Prigozhin, who has been arguing with top military brass for months, on Friday escalated the feud by accusing pro-Moscow forces of trying...
Wanajeshi wa Urusi wameanza kukamatwa mateka na waasi, supapawa hali tete.
========
Fighters opposed to the government in Moscow say they have have captured two Russian soldiers in Belgorod, near the border with Ukraine.
Belgorod's top official said he had agreed to meet the men's captors if...
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema mauaji yametokea katika shambulizi la Al-Shabab kwenye kambi ya walinda amani wa Umoja wa Afrika Nchini Somalia.
Wiki iliyopita Museveni alisema kumetokea vifo vya Waganda lakini hakutoa maelezo zaidi kuhusu shambulio hilo dhidi ya wanajeshi hao...
Kiongozi wa Wagner amesema zoezi la kumkabidhi Biden mabaki ya miili ya wanajeshi wa Marekani waliouawa wakiipigania Bakhmut isikombolewe limeanza. Katika mchakato huo, ameanza na mabaki ya mwili wa Nikolas Maimer, mwanajeshi wa Marekani wa Special forces aliyeuliwa na Wagner huko Bakhmut...
Wanajeshi saba waliuawa Jumapili baada ya gari lao kukanyaga bomu lililotegwa ardhini katika eneo la Tillaberi magharibi mwa Niger, jeshi la Niger limesema.
Wanamgambo wa kiislamu hufanya mara kwa mara mashambulizi katika eneo hilo.
Gari lililokuwa limebeba bidhaa za wanajeshi lilikanyaga bomu...
Walianza kama utani kulaumiana nani kaboronga kwenye shughuli ambayo imekwama kwa sasa, ghafla wakaanza kufyatuliana risasi na baadhi kuuawa maeneo ya Stanytsia Luhanska. Nasemaje!!! Safi sana piganeni mfe mizoga yenu iwe mbolea.
==============
A shoot-out allegedly occurred between Russian...
Takriban wanajeshi 320 wa Sudan walitoroka mapigano yanayoendelea nchini Mwao hadi nchi jirani ya Chad, waziri wa ulinzi wa Chad alisema Jumatano.
Waziri wa ulinzi Jenerali Daoud Yaya Brahim aliuambia mkutano wa waandishi wa habari kwamba “Waliwasili kwenye ardhi yetu, walipokonywa silaha na...
Hukumu imetolewa na Mahakama ya Kijeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) juu ya mauaji ya Balozi #LucaAttanasio mwaka wa 2021, licha ya ushahidi wa kesi kuendelea kuwa na utata.
Hata hivyo, Mawakili wa Washtakiwa wametangaza kukata rufaa kupinga hukumu hiyo ambayo awali Waendesha...
Salaam ndugu zangu kuna jambo limenifikirisha kidogo baada ya juzi kuja huyo mgeni kutoka Usa sasa baada ya kutua tu kila kitu cha ulinzi kilikuwa chini ya wageni kuanzia Airport mpka sehemu alipokuwa huyo mgeni na mpaka anaondoka wanajeshi wa kigeni ndio walikuwa wanaosimamia show nzima ya...
Mtoto wa kiume wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni Muhoozi Kainerugaba alitangaza siku ya Alhamisi kwamba nchi yake itatuma wanajeshi kuilinda Moscow ikiwa itakabiliwa na vitisho.
"Niite 'Putinist' ukipenda, lakini sisi, Uganda tutatuma wanajeshi kuilinda Moscow ikiwa itawahi kutishiwa na...
Hali inazidi kuwa tete nchini Kenya, vuguvugu la kisiasa linazidi kushika kasi.
Kutokana na maandamano yanayoendelea Polisi/ Wanajeshi wanaonekana kutumia nguvu kubwa kuwadhibiti waandamanaji.
Tazama video hapo chini, inaonesha matumizi makubwa ya nguvu na vifaa vya kijeshi pia Kuna Waandishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.