Jeshi la Ulinzi la #Botswana (BDF) limesema taarifa hizo zilizoripotiwa na Magazeti kuhusu Wanajeshi kukabiliwa na njaa kutokana na kutokana na kukosa chakula ni za uzushi na hazina msingi.
Taarifa ya #BDF imesema Wanajeshi wake waliotumwa Kaskazini mwa Nchi hiyo kulinda amani wapo katika Kambi...
Na BBC Swahili
Vita vya Bakhmut, mji wa Ukraine ambao Urusi imetumia miezi kadhaa kujaribu kuuteka, "inaendela kwa utulivu", anasema kamanda mkuu wa Ukraine. Mapema mwezi huu, maafisa wa Magharibi walikadiria kati ya wanajeshi 20,000 na 30,000 wa Urusi waliuawa au kujeruhiwa huko Bakhmut tangu...
Kwa ambavyo Urusi imepoteza wanajeshi kisa kugombania kamji ka chumvi, ni dhahiri hivi vita Putin amedhamiria hata kama itabidi kuzamisha nchi, hivyo imebidi Ukraine wajiandae kuua Warusi kwa kadiri wawezavyo, wamepata mafunzo ya kutumia vifaru special na kuanza kugeuza kurudi nyumbani...
Serikali imetuma Wanajeshi katika Hospitali na vituo vya Afya katika Mikoa ya Thelle Mogoerane, Sebokeng na Bheki Mlangeni iliyoathirika zaidi baada ya Madaktari kuungana na Wafanyakazi wengine wa umma katika mgomo wa kudai maslahi bora.
Wafanyakazi wa umma wamekuwa wakiandamana tangu Machi 6...
Wakuu kuna swali Moja la Msingi sana, kila inaposemwa Vita ya Kagera utasikia. Mayunga, Msuguli,Tumainiel Kihwelu ,Nyilenda, hata kwa wale ambao walikuwa na kazi za kuratibu Kama Makamba, Kikwete, Kinana, Makongoro Nyerere,
Sijasikia Mwanamke akitajwa popote! Ni kwamba hawakushiriki au historia...
Takribani wanajeshi elfu kumi (10000) wa Urusi wamejisalimisha kwa Ukraine kutoka mwezi wa tisa-2022, baada ya Ukraine kuanzisha kampeni inayojulikana kama nataka kuishi ambapo askari hupiga au kuchati kwenye kituo kinachoratibu mpango huo, akikamilisha taratibu huchukuliwa na kupelekwa kwenye...
Kila mtu na mnyonge wake!
Hakuna watu wa ajabu wanajikutaga kama wanajeshi, kujimwambafy kwingi mara wakiwa bar kujishaua kwingi na vipesa vyao vya kawaida sana.
wakipanga mtaani vurugu nyingi sauti za mziki kubwa za fujo hata usiku wa manane, usiombe ndio awe na kijigari kama uniform maana...
Haya matukio ya raia kupigwa na wanajeshi mtaani hutokea pale ambapo mwanajeshi mwenzao kafanyiwa kitendo kibaya na watu wasiojulikana hasa labda imetakea mwenzao kaibiwa, kaumizwa, kauliwa, nk.
Nimewahi shuhudia matukio haya ambayo yaliwafanya watu kuishi kama wakimbizi maeneo ya Dar Kigamboni...
President Joe Biden on Saturday congratulated fighter pilots for taking down a Chinese spy balloon off the east coast after it spent several days flying over the United States.
"They successfully took it down. And I want to compliment our aviators who did it," Biden told reporters in Maryland.
AFP
Kwa minajili ya Wikipedia, active personell wa JWTZ ni 28,000 sasa ukizingatia wanajeshi wa Urusi wameuawa 127,000 hiyo ni mara nne ya JWTZ, au kama vipi hapo ina maana wamefyekwa idadi ya ukijumlisha KDF, JWTZ, UDF, RDF n.k.
Jameni licha la hasara yote hiyo, Urusi wameambulia kugombania kamji...
Mizoga ya Warusi inaendelea kutapakaa Ukraine.
=========
The General Staff of the Ukrainian Army has indicated that 910 Russian servicemen have been killed during the last 24 hours and added that so far the clashes have resulted in more than 123,000 Russian soldiers "liquidated".
He also...
Jameni Warusi wanapitia mateso sana, mtu amejeruhiwa amepasuka pasuka analazimishwa arudi vitani akapigane na kufia huko, hii aibu itaisha lini maana kama inazidi kuwa mbovu.....
Severely injured Russian soldiers are being returned to the frontline in Ukraine without the approval of military...
Soledar Down!
Hawa Wagner si ndo tuliambiwa wamesambaratishwa?. Anyway Kherson Offensive iliishia mtoni na hakuna offensive yeyote mpaka sasa. Time will tell.
Ukraine walipua makao makuu ya Wagner group, sasa sijui Urusi watategemea msaada wa nani tena
Soma:
Ukrainian soldiers surrounded in...
Ahahaha kweli Afrika, kila mtoto ukimuulizia ndoto yako nini atakuambia ni kuwa rubani, daktari, mwanasheria, RAIS au mjeda.
Wachawi tumewachoka sasa, hebu rudisheni ndoto za Watanzania walizoota walipokuwa primary na sekondari.
Ukraine imetaja madai ya Urusi kama "propaganda" kwamba imeua mamia ya wanajeshi wa Ukraine katika shambulio.
Moscow ilidai, bila kutoa ushahidi wowote, kwamba "shambulio kubwa la kombora" katika mji wa mashariki wa Kramatorsk limeua zaidi ya wanajeshi 600 wa Ukraine.
Urusi imedai kuwa ilikuwa...
Amani iwe nanyi.
Mimi ni mmoja wa watumiaji wa mitandao ya kijamii, specifically Whatsapp. Katika matumizi hayo, napitia sana Status za marafiki pamoja na jamaa zangu.
Ninao jamaa ambao nawafahamu wanafanya kazi katika idara na majeshi husika. Japo hawapost mara nyingi, ila wanapopost huwa...
Urusi imesema idadi ya vifo vya wanajeshi wake kufuatia shambulizi la Ukraine kwenye mkesha wa Mwaka Mpya katika eneo la Makiivka imepanda hadi 89.
Moscow imesema mapema leo kuwa miili zaidi ilipatikana kwenye vifusi katika mji wa Makiivka ulioko mkoa wa mashariki wa Donetsk unaodhibitiwa na...
Ni kosa lilifanyika nadhani ni kwa sababu hawa sio askari tegemezi wa Russia. Askari hawezi kutumia simu za kawaida sehemu yoyote iwe kambini au uwanja wa vita.
Already obvious that the main reason for what happened was the turning on and mass use mobile phones by personnel – contrary to the...
Wakuu
KIFO ndio fumbo pekee ambalo wanadamu tunaogopa. Watu hawaogopi tena kifungo cha Maisha jela wala faini zinazolipika.
ILI kuongeza tija kiutendaji na kuepuka ubadhirifu, wizi na UFISADI katika wizara mbalimbali nchini,ipo haja ya kuteua kada ambayo itakula kiapo cha KIFO!kabla ya...
Wanajeshi wanane na raia moja katika eneo la Kaskazini Mashariki mwa DRC wamehukumiwa kifo kwa mauaji na ubadhirifu.
Kati ya waliopatikana na hatia kati yao kuna Kanali Mukalenga Tendeko na Kayumba Sumahili.
Wanajeshi wengine watatu ambao walikuwa wamehukumiwa hadi kifungo cha miaka 10 jela...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.