wanamgambo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Watu watano wauawa na wanamgambo Mashariki mwa DRC

    Watu watano wameuawa, wakiwemo watoto wanne ambao walichomwa moto hadi kufa, na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo, ambao pia waliteka nyara watu wengine kadhaa katika shambulio mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo Shambulio hilo la Waasi wa Alliance Democratic Forces (ADF) limetokea...
  2. JanguKamaJangu

    Wanamgambo 67 wa Al-Shabaab wauawa Somalia

    Imeelezwa Wanamkambo 67 wa Al-Shabaab wameuawa katika mapigano katika Mji wa Galgaduud Nchini Somalia dhidi ya Wanajeshi wa Somalia. Waziri wa Habari wa Jimbo la Galgaduud, Ahmed Shire amesema katika mapigano hayo Wanajeshi walimkamata mshambuliaji wa kujitoa mhanga ambaye alikuwa akipanga...
  3. Gama

    Jeshi la Uganda limegundua kambi ya mafunzo ya Wanamgambo wa Kiislamu

    Jeshi la uganda limesema kuwa limegundua kituo cha mafunzo kwa wpiganaji wa kiislam Km 60 tu kutoka kampala, watu watatu wanashikiriwa, aidha vyuma vya kutengenezea milipuko vilipatikana pia. Mamlaka zinalaumu wapiganaji wa ADF walijichimbia katika misitiu ya Kongo kwa mashambulizi ya milipuko...
  4. Lady Whistledown

    Sudan: Kesi ya kwanza ya anayedaiwa kuwa kiongozi wa Janjaweed yaanza kusikilizwa ICC

    Mwanamume anayeshutumiwa kwa kuongoza wanamgambo wanaoogopwa na serikali ya Sudan wanaojulikana kama "Janjaweed" akanusha mashtaka kadhaa ya uhalifu wa kivita mwanzoni mwa kesi ya kwanza ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu kuhusu mzozo wa Darfur. Ali Muhammad Ali Abd–Al-Rahman (72)...
  5. Analogia Malenga

    Wanamgambo wa Somalia wamuua mbunge wa kike katika shambulio la bomu la kujitoa mhanga

    Takriban watu 15, akiwemo mbunge mwanamke wa bunge la shirikisho la Somalia, waliuawa katika milipuko miwili ya kujitoa mhanga katika mji wa Beledweyne katikati mwa Somalia. Waziri Mkuu Mohamed Hussein Roble ametaja kifo cha Amina Mohamed Abdi kama "mauaji". Rais wa Somalia Mohamed Abdullahi...
  6. Analogia Malenga

    Watu 18 wauawa katika shambulio la wanamgambo wa Niger

    Raia 18 nchini Niger wameuawa katika shambulio la wanamgambo magharibi mwa nchi hiyo, serikali inasema. Majambazi waliokuwa na pikipiki walivamia lori lililokuwa likisafirisha watu kati ya vijiji viwili vya mkoa wa Tillaberi. Magharibi mwa Niger - kama vile nchi jirani za Mali na Burkina Faso...
  7. Chachu Ombara

    Lamu: Takriban watu 6 wauawa na vijiji kuchomwa moto na wanamgambo wa Al Shabaab

    Takriban watu sita wameuawa na vijiji kuchomwa moto na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Al Shabab katika mji wa pwani wa Lamu nchini Kenya. --- Six people have been killed and homes torched in an attack Monday by suspected Al Shabaab militants in Kenya's coastal Lamu region that borders...
  8. Analogia Malenga

    Maelfu ya wanamgambo wa Boko Haram wajisalimisha Nigeria

    Jeshi la Nigeria linasema karibu wanamgambo 6000 wa Boko Haram wakiwemo makamanda , wapiganaji na familia zao wamejisalimisha kwa mamlaka katika muda wa wiki chache zilizopita. Cameroon pia ilikuwa imetangaza kujisalimisha kwa mamia ya ya wanamgambo Boko Haram nchini humo hivi karibuni. Jeshi...
  9. F

    Marekani kutuma kikosi maalumu cha jeshi Congo DRC kupambana na wanamgambo

    Utawala wa Rais Joe Biden wa Marekani unajiandaa kutuma kikosi maalumu cha jeshi Congo DRC kupambana na wanamgambo wa ADF na ISIS waliopo mashariki. Balozi wa Marekani Congo DRC amesema kwa sasa vita vya Congo vitafikia ukingoni. Hatua hiyo ya Marekani unakuja wiki moja baada ya Kenya nayo...
  10. Analogia Malenga

    Kiongozi Boko Haram, Abubakar Shekau afariki dunia. Wanamgambo wa kundi hasimu wasema

    Kiongozi wa kundi la wanamgambo wa Boko Haram nchini Nigeria Abubakar Shekau, amejiua mwenyewe , wanamgambo wa kundi hasimu wamesema katika sauti iliyorekodiwa. Katika rekodi ya sauti iliyopatikana na mashirika ya habari, kundi la Islamic State katika mkoa wa Afrika Magharibi (Iswap) lilisema...
  11. Kurzweil

    BURKINAFASO: Takriban Wanakijiji 30 wauawa baada ya kushambuliwa na Wanamgambo

    Wanamgambo wanaosadikika wa kundi la Jihad wamevamia kijiji mashariki mwa Burkinafaso na kuua wanakijiji wanaokadiriwa 30. ‘Kundi kubwa la watu wenye silaha lilivamia kijiji cha Kodyel jimbo la Komandjari jumatatu asubuhi na kufanya shambulio liligharimu maisha ya watu wanaokadiriwa kufikia 30...
Back
Top Bottom