Watumishi wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi wanaendelea kutoa huduma za sekta ya Ardhi katika banda la wizara hiyo katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika Viwanja vya Chinangali Park jijini Dodoma.
Katika kufikisha ujumbe kwa jamii, wasanii kutoka...