Wizara ya Ardhi yaalika wananchi kufika wiki ya utumishi kupata huduma za ardhi

Wizara ya Ardhi

Govt Institution
Joined
May 14, 2024
Posts
306
Reaction score
165
Watumishi wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi wanaendelea kutoa huduma za sekta ya Ardhi katika banda la wizara hiyo katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika Viwanja vya Chinangali Park jijini Dodoma.

Katika kufikisha ujumbe kwa jamii, wasanii kutoka Jeshi la Polisi nchini Wakiongozwa na Msanii SM Malima Kabondo Mjinja almaarufu Dolela wakishiriki kutoa elimu na kuhamasisha wananchi kufika katika banda hilo kupata huduma za Ardhi.

Huduma zinazotolewa ni pamoja na elimu umiliki wa ardhi, ushauri wa kitaalamu wa masuala ya ardhi, huduma za ukadiriaji wa kodi ya pango la ardhi pamoja na utoaji wa hatimiliki kwa wananchi waliokamilisha taratibu za umilikishwaji.

Maadhimisho hayo yalianza tarehe 16 Juni na yanatarajiwa kuhitimishwa tarehe 23 Juni 2026
 
Mwaliko ameanza lini
 
Back
Top Bottom