Nch yangu ni nchi isiyopenda kuambiwa ukweli wao ni mabingwa wa kutoa makatazo bila kujali chanzo cha tatizo.
Hivi leo wananchi kila siku wanapiga kelele juu ya yaliyotokea 29/10 hakuna anayejali mmeziba pamba masikio na nyie ndio viongozi wetu tumuulize nani? Tumepoteza wapendwa wetu mnakaa...