Mnakemea wananchi kushangilia vifo vya viongozi, Je Mshajiuliza chanzo cha hili tatizo?

Mnakemea wananchi kushangilia vifo vya viongozi, Je Mshajiuliza chanzo cha hili tatizo?

PERAMIHO YETU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
6,288
Reaction score
17,333
Nch yangu ni nchi isiyopenda kuambiwa ukweli wao ni mabingwa wa kutoa makatazo bila kujali chanzo cha tatizo.

Hivi leo wananchi kila siku wanapiga kelele juu ya yaliyotokea 29/10 hakuna anayejali mmeziba pamba masikio na nyie ndio viongozi wetu tumuulize nani? Tumepoteza wapendwa wetu mnakaa pembeni mnatucheka kwamba sisi ni wajinga kudai haki zetu.

Kiongozi anajilimbikizia mali waziwazi anaingia mikataba ya kujinufaisha mkuu wa nchi anasema ili wasirudie tena TUWACHAMBE HADI WAONE AIBU

Sasa kwa mambo kama haya unategwmea wananchi tufanye nn kuchamba hatuwez mahakama zipo kwa ajil ya wanyonge.

Sisi tumeamua kufurahia vifo vyenu pengine mlioko madarakani mtashtuka

Hivi kila mtu anamuona ANGELA KIZIGHA ni fisadi nchi hii hadi Hayati Rais Magufuli alisema hilo huku wewe ukiwa makamu wake, si ungemshauri boss wako kuwa Angela hana hatia

Mkifa kwetu tunaona nchi inapata nafuu sababu hamtazikwa na hizo pesa mtaziacha hapahapa na ufalme wa Mungu hamtauona kamwe
 
Hatari Sana Viongozi Badilikeni Jamani
Kizazi Hiki Hakina Mzaha
 
Wanasema hakuna nywinywi wala nywanywa,JWTZ mjiandaeeeee Kwa uchaguzi!!! haya tume walipewa siku 90,tena siku 45 na Sasa 21 yaani wanatuona manyaniii
 
Back
Top Bottom