wananchi wa dodoma kudai maendeleo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dodoma: Wananchi walalamika Diwani wao kuwapiga, na kuwatoa vitisho pindi wanapodai maendeleo

    Wananchi wa Kijiji cha Mlowa Bwawani, Wilaya ya Chamwino, Mkoa wa Dodoma, wamemlalamikia Diwani wa kata hiyo, Andrew Richard Mseya (CCM), kwa madai ya kutumia mamlaka yake kuwanyanyasa, kuwapiga, na kuwatoa vitisho pindi wanapodai maendeleo katika kijiji chao. Wakizungumza na waandishi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…