Mbunge wa Jimbo la Ludewa mkoani Njombe Joseph Kamonga, amesema wakazi wa Ludewa wameendelea kuweka juhudi kwenye kilimo hususani cha mahindi na kuiomba Serikali kuendelea kufikisha fedha kwenye wilaya hiyo ili kuboredha miundombinu ikiwemo ya barabara.
Kamonga ameeleza hayo wakati akizungumza...