wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. LGE2024 Mwanza: RC Mtanda ahimiza Wananchi waende kupiga Kura, ataka wasiogope mvua

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amewataka wananchi wa Mwanza kujitokeza kushiriki katika kutimiza haki ya kidemokrasia na kikatiba ya kupiga kura licha ya kuwepo na hali ya mvua na kuwataka hali hiyo isiwatie uvivu. Mhe. Mtanda ametoa rai hiyo mapema leo Novemba 27, 2024 mara baada ya...
  2. LGE2024 Simiyu: RC Kihongosi ahamasisha Wananchi kujitokeza kupiga Kura na kuepuka kusalia Vituoni

    Mkuu wa mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi amewaasa wakazi wa mkoa huo kuendelea kujitokeza kwa wingi katika vituo vya kupigia kura katika mitaa yao ili kuchagua viongozi watakaowaongoza katika mitaa yao. Akizungumza baada ya kupiga kura katika mtaa wa Sesele uliopo kata ya Nyakabindi wilayani...
  3. LGE2024 Dar: IGP Camillus Wambura apiga Kura, awahimiza Wananchi kutimiza Haki ya Kikatiba

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, Novemba 27,2024 amepiga kura kuwachagua viongozi wa serikali za Mitaa. IGP Wambura amepiga kura Jijini Dar es salaam ambapo amewasisitiza wananchi pamoja na askari kujitokeza kwa wingi kutimiza haki yao ya kikatiba.
  4. T

    LGE2024 Iringa: Wananchi na viongozi mbalimbali washiriki kupiga kura

    Wananchi na viongozi wa kada mbalimbali wameendelea kujitokeza katika upigaji kura kwenye vituo mbalimbali kuanzia majira ya saa 2 asubuhi Akizungumza muda mfupi baada ya kupiga kura Mkuu wa mkoa wa Iringa Peter Serukamba amewasihi wananchi kuimarisha utulivu wakati wote wa zoezi hilo
  5. LGE2024 Wananchi Dar wafurahishwa na Utaratibu wa Upigaji Kura

    Baadhi ya Wananchi waliojitokeza katika zoezi la Upigaji kura katika kituo cha shule ya msingi Viziwi Buguruni iliyopo Ilala Jijini Dar es Salaam wameonyesha kuridhishwa na jinisi ambavyo zoezi hilo ambalo linaloendelea katika kituo hicho. Wakizungumza na ManaraTv wananchi hao wameeleza sababu...
  6. LGE2024 Tanga: Mkuu wa Mkoa Batilda Buriani atoa wito kwa Wananchi kuondoka Vituoni baada ya Kupiga Kura

    Ikiwa ni siku iliyosubiriwa na watanzania kutekeleza demokrasia yao ya hatima ya Fyucha ya Kitaa, mkuu wa mkoa wa Tanga Batilda Buriani amewataka wananchi kuondoka eneo la kupiga kura mara baada ya kukamilisha haki yao ya kupiga kura.
  7. Jinsi Makampuni yalivyowahi / yanavyowaibia Wananchi kupitia Nishati na kujinufaisha wao na Vikaragosi vyao...

    Ni Hesabu ndogo tu... Gharama za Uzalishaji zikiwa kubwa basi na Bei ya Mtumiaji itaongezeka; IKIWA MZALISHAJI NI UMMA; Gharama za Uzalishaji zikiwa kubwa sababu Nishati ni Huduma huenda ikatolewa Ruzuku kupunguza hizo gharama au Mteja hana jinsi lazima atatumia tu IKIWA MZALISHAJI NI BINAFSI...
  8. LGE2024 Ukipiga Kura, Wananchi Washuhudie Hatua Zote, Ndiyo Kanuni ya Productivity

    Kuna kauli za kipuuzi zimetolewa na baadhi ya watu eti mtu akipiga kura aondoke, asishuhudie hatua nyingine, eti aende nyumbani asubirie kuambiwa nani ameshinda uchaguzi! Wengine wakathubutu hata kusema eti baada ya kupiga kura, wananchi wasipoteze muda, waende wakafanye kazi! Yaani leo ndiyo...
  9. LGE2024 Ally Hapi ahimiza Wananchi kujitokeza kupiga kura

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Ally Hapi, amehitimisha kampeni za chama hicho mkoani Mbeya kwa kuhimiza wananchi kuwachagua viongozi wa CCM katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. Katika hotuba yake, Hapi alisisitiza umuhimu wa kampeni za...
  10. LGE2024 Ridhiwani Kikwete: Mapokezi ya Wananchi yanatoa ishara kuwa CCM itashinda kwa asilimia kubwa sana

    Ridhiwani Kikwete: Nikiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Pwani Cde. Mwinshehe Mlao Tumenadi Wagombea wa Chama Cha Mapinduzi katika kata ya Bwilingu pamoja na kuendelea kuimarisha Chama kwa kuzindua mashina mapya Manne (4) ya wanachama wakereketwa katika kitongoji cha Bwilingu. Mapokezi ya...
  11. LGE2024 Wananchi wa Lupembe wako tayari kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wananchi wa jimbo la Lupembe wameeleza utayari wao kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika leo Novemba 27, 2024 Nchi nzima huku wakiweka wazi Matarajio yao kwa viongozi wapya watakaochaguliwa Wananchi hao akiwemo Fikiria Vicent Kisogole, Salvina Barton Mpolo na Martina Isdol...
  12. LGE2024 Makonda: Wananchi twendeni tukapige kura ili tutengeneze serikali iliyo bora

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda amewahimiza wakazi wote wenye sifa Mkoa wa Arusha kujitokeza kwa wingi kupiga kura hapo Kesho Jumatano Novemba 27, 2024 ili kuwachagua Viongozi wa serikali za Mitaa watakaoshirikiana na Viongozi wengine kujiletea maendeleo kwenye maeneo yao. Makonda...
  13. LGE2024 Dodoma: Wananchi zaidi ya milioni 1.7 wanatarajiwa kupiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Ikiwa kesho novemba 27 ni siku ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa unatarajiwa kufanyika jumla ya Wagombea elfu nne mia nne na nne wa vyama vyote vya siasa Mkoa wa Dodoma wamejitokeza kugombea nafasi mbalimbali huku watu zaidi ya milioni moja na laki saba elfu kumi na mbili mia nne sabini na mbili...
  14. LGE2024 Dkt. Philip Mpango awahimiza Wananchi kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewahamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi katika kushiriki zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika kesho tarehe 27 Novemba 2024. Makamu wa Rais ametoa wito huo wakati akizungumza na abiria...
  15. LGE2024 Mussa Zungu anapita mtaa kwa mtaa kuombea kura CCM. Haoni aibu jinsi mitaa na hali za wananchi zilivyokuwa mbaya?

    Wanabodi, Kama mnavyojua kuwa sasa hivi kampeni za serikali zinaendelea na jana Mbunge wa Ilala Mussa Zungu Ukiangalia mitaa ambayo alikuwa anapita ni mitaa ambayo barabara ni mbovu, hakuna mpangilio na hata mitaa haiko katika hali ya usafi. Anakutana na wananchi wanauza mihogo katika hali...
  16. LGE2024 Njombe: Diwani Mpete akiwaelekeza Wananchi namna ya kuwapigia Kura viongozi wa CCM Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wananchi wa Kata ya Utalingolo Halmashauri ya mji wa Njombe mkoani Njombe wamesema Katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika hapo Novemba 27 mwaka huu watakwenda kumpigia kura kiongozi atakayekuwa wazi katika utendaji wake ikiwemo kusoma taarifa za mapato na matumizi kila baada...
  17. Wananchi tunafeli wapi kununua tiketi?

    Bado uwanja Mtupu au mpaka hadi tusemwe ndio tununue tiketi,tulichozoea ni kunywa supu ila Azam na Tabora wamekatia ham ya supu. 😭😭 Tukutane kesho uwanjani mashabiki wa Yanga Sc 💚
  18. LGE2024 Babu Duni: CCM wakishinda kwa nguvu, Wananchi mmewaachia

    "Mimi ninasema mnadharau kwasababu mmekata tamaa, mnahisi mambo ni yaleyale...aah! ndiyo hivyo bana, CCM watachukua kwa nguvu; hawezi kuchukua kwa nguvu, wakichukua kwa nguvu maana yake mmewaachia, vijana mjiandae, mkipiga kura, mkishinda kataeni kunyang'anywa". Mwenyekiti mstaafu wa chama cha...
  19. LGE2024 Tanga: Katibu mkuu wa chama cha sauti ya umma(SAU), Majalio Kyara amewasihi Wananchi kutokuuza utu wao Serali za Mitaa

    Katibu mkuu wa chama cha sauti ya umma(SAU) Ndugu Majalio Kyara amewasihi wananchi kutokubali kuuza utu wao kwa kurubunika na kuchagua viongozi wasiofaa katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Pesa inatafutwa lakini utu hautafutwi msikubali kuuza utu wenu kwa kurubunika kwa njia yoyote. Hayo...
  20. K

    Kumekuwa na sintofahamu ya wananchi wanaohamishwa kutoka vijiji vya Utegi

    Kumekuwa na sintofahamu kwa wananchi wanaohamishwa kutoka vijiji vya Utegi, Wilaya ya Rorya. Hizi ni baadhi ya maswali yanayojitokeza: Hawa wananchi hawajaelezwa ni kwa nini wanahamishwa. Wananchi hawa hawajaelezwa ni wapi wanapopelekwa. Malipo yao hayakuzingatia tathmini kama ilivyo utaratibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…