wanandoa kukosa upendo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Dodoma: Adaiwa Kumuua Mkewe kwa kumchoma kitu chenye ncha kali shingoni

    TAHARUKI imetanda katika Mtaa wa Mailimbili Darajani, jijini Dodoma, kufuatia tukio la mwanamume anayedaiwa kumuua mkewe kwa kumchoma na kitu chenye ncha kali shingoni. Marehemu ametambuliwa kwa jina la Shukran Riziki (30) na mtuhumiwa ni Khatibu Mfaume, anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 39...
  2. JamiiForums Tanzania Wanandoa tuliolala peke yetu vyumbani na wake peke yao tujuane

    Kuna maisha unapitia unaona shetan mbona akuachi hasa ukiangaalia mapambano magumh ya maisha Miezi kadhaa niliwahi lala mwenyewe kama miezi 4 mke alilala na watoto akahamia kwa chumba cha wageni Haikuwa rahisi yale machunhu pamoja na kurudiana kuna wakati nafungua redio kusikiliza kiboko ya...
  3. JamiiForums Tanzania Ndoa za siku hizi hazina uaminifu hata kidogo

    Inasikitisha sana. Mbususu zinachakatwa sana nje ya ndoa hasahasa kwenye mtaa wangu. Nina mpango kusaidiana na jeshi la sungu sungu ili kuwakabili wanaume wenye tabia za kuchakata wake za watu ilihali wanajua wazi kuwa huyu ni mke wa mtu. Kwenye mtaa wangu si tu vijana, yaani hadi wazee wanaruka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…