Dodoma: Adaiwa Kumuua Mkewe kwa kumchoma kitu chenye ncha kali shingoni

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
TAHARUKI imetanda katika Mtaa wa Mailimbili Darajani, jijini Dodoma, kufuatia tukio la mwanamume anayedaiwa kumuua mkewe kwa kumchoma na kitu chenye ncha kali shingoni.

Marehemu ametambuliwa kwa jina la Shukran Riziki (30) na mtuhumiwa ni Khatibu Mfaume, anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 39.

Kwa mujibu wa taarifa za awali, tukio hilo linadaiwa kutokea jana, huku wanandoa hao wakitajwa kuwa na historia ya kugombana mara kwa mara.

Baada ya tukio hilo, Mfaume anadaiwa kwenda kunywa pombe kabla ya kurejea nyumbani na kulala karibu na mwili wa mkewe.

Taarifa zaidi zinaeleza kuwa asubuhi ya leo, Oktoba 9,2026 mtuhumiwa alikwenda kujisalimisha katika kituo cha polisi cha kata kabla ya kuhamishiwa Kituo Kikuu cha Polisi Dodoma.

Tayari Jeshi la Polisi limefika katika eneo la tukio kwa ajili ya kuuchukua mwili wa marehemu na kuendelea na taratibu za uchunguzi.

Hata hivyo, maelezo hayo ni ya awali na sababu kamili za tukio hilo bado hazijathibitishwa rasmi.

Soma Pia: Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam

View: https://www.instagram.com/p/DeRweoOqJ_w/

Huu mwezi OKTOBA unafikirisha sana ngoja tusubiri ya mpaka tarehe 29 kuna kitu hakiko sawa
 
Ndoa za mikataba ndizo tunazoelekea kuishi nazo kwa Gen Z kuepukana na maafa kimahusiano.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
TAHARUKI imetanda katika Mtaa wa Mailimbili Darajani, jijini Dodoma, kufuatia tukio la mwanamume anayedaiwa kumuua mkewe kwa kumchoma na kitu chenye ncha kali shingoni.

Marehemu ametambuliwa kwa jina la Shukran Riziki (30) na mtuhumiwa ni Khatibu Mfaume, anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 39.

Kwa mujibu wa taarifa za awali, tukio hilo linadaiwa kutokea jana, huku wanandoa hao wakitajwa kuwa na historia ya kugombana mara kwa mara.

Baada ya tukio hilo, Mfaume anadaiwa kwenda kunywa pombe kabla ya kurejea nyumbani na kulala karibu na mwili wa mkewe.

Taarifa zaidi zinaeleza kuwa asubuhi ya leo, Oktoba 9,2026 mtuhumiwa alikwenda kujisalimisha katika kituo cha polisi cha kata kabla ya kuhamishiwa Kituo Kikuu cha Polisi Dodoma.

Tayari Jeshi la Polisi limefika katika eneo la tukio kwa ajili ya kuuchukua mwili wa marehemu na kuendelea na taratibu za uchunguzi.

View: https://www.instagram.com/p/DeRweoOqJ_w/

Hata hivyo, maelezo hayo ni ya awali na sababu kamili za tukio hilo bado hazijathibitishwa rasmi.

Soma Pia: Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam

Hii style ni mpya ya kujisalimisha! Hii inaashiria mtu amechoka na yupo tayari kwa lolote
 
Hii miezi Wanaume wenzangu hebu tuchukue mapumziko twende hata hapo Forodhani tukale urojo, ili kama kuna pepo linatuandama la kuua wenza wetu lishindwe na lilegee

It doesn't make sense to kill your beloved wife whom you promised, you will protect to death

Uko wapi ule upendo wa mwanzoni wakati ambapo majina ya honey, sweetheart, nyonga mkalia ini yalikuwa hayakauki midomoni mwetu?

Haijalishi amekukosea kwa kiwango gani, hastahili kulipwa kifo.

Wanandoa Mungu atusaidie, huyu shetani anayetunyemelea kwa kuua wenza wetu ashindwe na alegee
 
Hii ni October, tunaitafuta Oct, 29.

Mwanaume mwenye akili timamu hawezi kuwa proud of killing women.

Turudi kwenye Familia na jamii tuchunguze maadili na malezi ya kila familia.

Vijana wa kiume na kike chunguzaneni na kufuatilia malezi na historia ya familia husika kabla ya ndoa.
 
Back
Top Bottom