Dodoma: Adaiwa Kumuua Mkewe kwa kumchoma kitu chenye ncha kali shingoni

Dodoma: Adaiwa Kumuua Mkewe kwa kumchoma kitu chenye ncha kali shingoni

Kunyimwa K mbona ni very common practice kwenye ndoa nyingi kiongozi? Huyu amekutana tu na siku zake zimefika but ni michezo iliyoenea sana kwenye ndoa.
Unaweza kunyimwa kwasababu zinazoeleweka ila sometimes unaona mtu anakunyima bila sababu za msingi hapo ndo mda mwingine inakuwa kasheshe hadi kusababisha ugomvi na hata kujeruhiana
Kwani umeambiwa ni Wachaga? 🤣
😃😃kwani wa makabila mengine hawawezi kutaka hati mkuu
 
Wanaume wenzangu hii tabia yakuweka vitu moyoni bila kuongea itatumaliza. Unakuta mtu analitia changamoto za ndoa hasemi and of time maamuzi yanakuwa kuuwa mwenzi ni ujinga sana” kakushinda rudisha kwao
 
Unaweza kunyimwa kwasababu zinazoeleweka ila sometimes unaona mtu anakunyima bila sababu za msingi hapo ndo mda mwingine inakuwa kasheshe hadi kusababisha ugomvi na hata kujeruhiana

😃😃kwani wa makabila mengine hawawezi kutaka hati mkuu
Anayekunyima kwake ni sababu ya kueleweka even if anayenyimwa kwake sio sababu ya msingi. Shida inakuja pale kila upande unaposimamia msimamo wake!
 
Wanawake ni kawaida kutongozwa, tena ukiwa na mke mrembo anaweza kutongozwa hata mara 3 kwa siku

Ni uamuzi wake kuwakubalia ama kuheshimu ndoa yake

Pamoja na hayo, hutakiwi kumuua unapogundua ametongozwa ama kuchepuka

Adhabu inayomfaa ni kumuomba muachane tu ili Kila mmoja akaishi maisha yake

Unapoamua kumuua, ni kujipotezea maisha maana lazima utafungwa
Sihalalishi mauaji japo silaumu

Mimi jinsi nilivyo kuruhusu maisha yaendelee tena kwa msaada wa walimwengu sio familia.!🤭

Coz familia yangu ni ya watu na wehu wa kanuni ila ulimwengu ulilipia ada yangu nilichojifunza chimbo.!

Hivyo nikibonga hivi sina maana ya kuwa mpinzani sana

Ila hata kama babu yako hakutunga katiba haihalalishi uvunjifu wa sheria

Nasema hivi watu Tumezaliwa kusikostahili mpaka haki za kibinadamu hazitaki kututetea.! Real definition Amharest
 
Wanaume wenzangu hii tabia yakuweka vitu moyoni bila kuongea itatumaliza. Unakuta mtu analitia changamoto za ndoa hasemi and of time maamuzi yanakuwa kuuwa mwenzi ni ujinga sana” kakushinda rudisha kwao
Sio kwamba hatutaki mfumo wa u mjini umetulazimu
 
Kwanza, kuna thinking ya " let's hope for the best"; atabadilika hali ambayo huzaa kuvumiliana. Pili, process ya kuachana isn't an overnight issue - it takes time including social intervention - tuachane vizuri.
Ukijiwekea Time Frame itakuwa rahisi zaidi kufanya Hitimisho mapema kabla mambo hayajazidi kuharibika na pengine kuyagharimu maisha yako.
Na hata kama ungeamua kukatisha mahusiano ghafla wewe ndiwe utaonekana chanzo cha migogoro hali ambayo wengi hawaipendi.
Sasa hapo mtu unaamua kusuka au kunyoa. Kuogopa eti itaonekana wewe ndo chanzo cha migogoro kunawaponza wengi. Wewe jali usalama wako mengine baadaye.
Matrimonial issues are a bit complex than they might be taken at a glance!
Exactly.
 
Wanawake ni kawaida kutongozwa, tena ukiwa na mke mrembo anaweza kutongozwa hata mara 3 kwa siku
Sahihi kabisa-hata mara saba u sabini.
Ni uamuzi wake kuwakubalia ama kuheshimu ndoa yake
Naam; sahihi.
Pamoja na hayo, hutakiwi kumuua unapogundua ametongozwa ama kuchepuka
Kweli.
Adhabu inayomfaa ni kumuomba muachane tu ili Kila mmoja akaishi maisha yake
Humuombi bali unaanzisha mchakato Halali ili muachane tu.
Unapoamua kumuua, ni kujipotezea maisha maana lazima utafungwa
Ni kweli; na ikibidi unaweza kunyongwa hadi kufa.
 
Back
Top Bottom