Hello wakuu, mara nyingi wasanii wanaohit ndio tunaamini wanajua, kumbe wengine wanabebwa na labels, marketing, algorithms, nk. Nk.
Makampuni kama Universal, Sony, nk. Nk. Yanaweza kupush mimbo ihit kumbe yana agenda zao kama za LGBTQ kina Lil nasX, Cardi b na wengineo.
Mda huo huo kumbe kuna...
Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, Ali Jabir Mwadini, amesema hakuna utaratibu unaowatambua Watanzania waliokwenda kufanya kazi za ndani nchini Saudi Arabia.
Balozi Mwadini alisema hayo katika mkutano na waandishi wa habari uliofanywa kwa njia ya video moja kwa moja kutoka Riyadh, Saudi...
Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika.
Hapa chini ningependa tuorodheshe tano bora ya mawaziri wenye kufanya vizuri zaidi katika serikali hii ya awamu ya sita ya mama yetu mh raisi Samia S. Hassan.
Tukiachana na waziri mkuu ambae yeye...
Adhabu hii aliyopewa professor wa Princeton ni kwa kosa alilofanya miaka 15 iliyopita. Tanzania tukitoa adhabu kama hizi kwa waalimu wa vyuo vyetu waliojihusisha kimapenzi na wanafunzi wao ndani ya miaka 15 iliyopita tunaweza kubaki na waalimu wachache sana. Lakini ni adhabu ambayo inabidi tuwe...
Katika ulimwengu wa tafiti ni kawaida kwa baadhi ya experimental researches kuwa na matendo ambayo yana-disturb fikra za subject, kwa kuzingatia ethics huwa wanapoandaa paper wanaweka namna ambayo watadhibiti ile mental disturbance inayosababishwa katika test husika.
Baadhi ya researchs...
Aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini bwana Godbless Lema, katika Mazungumzo huko space twitter alisikika akikwambia Kitila Mkumbo kwamba mshahara wa mbunge ni Mdogo mno yaani ni 4000$ Kwa Mwezi hivyo aache Ubunge amfundishe cryptocurrency apate zaidi ya hiyo maana anazidiwa na vijana wanaoifanya...
Tukio limetokea usiku huu,maeneo ya KIBOSHO kindi, ambapo mtu mmoja anaefahamika kwa jina la Munishi,
Afariki dunia baada ya kupigwa risasi ya kifua ktk operesheni ya kuua mbwa wanaozurura hovyo inayoendelea huko KIBOSHO.
Wamarangu,
Wauru,wamachame,waold Moshi,wamasama,warombo tumefiwa huku...
Miaka ya hivi karibuni viongozi wa umma wameingiwa na tabia ya kusifu na kushangilia hovyo.
Kupitia mitandao ya kijamii tunashuhudia wakurugenzi na wakuu wa wilaya wakijisifia ujenzi wa madarasa kana kwamba nikitu ambacho hakikua kinawezekana.
Hao hao viongozi wameandamwa na msiba wa shule za...
Kila nikijaribu kuvuta picha ya aina ya viongozi tulionao hususan kwenye mashirika na taasisi nyeti za nchi napata mashaka makubwa sana kama taifa tutapiga hatua za kimaendeleo ambazo kila mmoja wetu anatamani zifanikiwe kwenye taifa hili.
Je, wafanya vetting hawako vigilant kutambua ya kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.