Utafiti mpya uliofanywa na Chuo Kikuu cha Essex na Chuo Kikuu cha Adelaide nchini Australia umebainisha kuwa kukodi nyumba kutoka kwa mtu kibinafsi au kampuni binafsi kunaweza kumsababisha mtu kuzeeka haraka kwa asilimia 100 kulinganisha na wanaomiliki nyumba zao wenyewe.
Njia hili imeonekana...
Ukihitaji salamu nenda pwani kwa waswahili,kwangu utaambulia chuya ukalishie kuku!
Bado sijafahamu ni kwanini watanzania wengi wanaoishi nchi za Marekani,Canada na Uk huwa wanamaisha magumu kupita kiasi tofauti kabisa na wale wanaoishi nchi za Scandinavian na Germany!.
Ninawafahamu jamaa...
Mwaka 2020 jirani yangu alifukuzwa na mama mwenye nyumba wake (muhaya) usiku.
Alikuwa na mke na watoto watatu. Hakuwa na pa kwenda. Kwa kuwa alikuwa na mazoea na Mimi (tulikuwa tunakunywa wote plus wote Yanga) akaja kuomba msaada kwangu.
Msaada nilio mpa:
1. Nilimpa Hifadhi yeye na...
RRRR za falsafa ya mama Samia ina manufaa makubwa sana, tena sana kwa kila Mtanzania na kwa Tanzania kwa ujumla.
R hizi 4 za mama Samia zina fursa kubwa sana ndani yake, kwetu sote. Nawaasa Watanzania tusikurupuke na tusibaki kutawaliwa kimazowea na wala tusiwe na fikra za mama Samia kuwa...
Takwimu hizi zinaonesha kuwa, kati ya watu wote waliopo nchini kwa sasa, asilimia 6.4 walizaliwa kabla ya muungano. Idadi hii ni hazina muhimu kwa Taifa katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kijamii, utamaduni na mazingira. Wengi wa watu hawa ni tunu katika kujifunza namna ya utunzaji wa mila na...
Shamba la mifugo la Utegi kisheria ni shamba la vijiji vinavyoizunguka shamba hilo na walipewa na Serikali baada ya kuilipa Serikali jumla ya Tshs.90,000,000 (millioni tisini). Na kama nasema uongo, naomba kusahihishwa.
Awamu ya Tano ilipoingia madarakani, iliichukua shamba hili bila kukaa na...
Habari wanajukwaa,
Nisiwachoshe sana twende kwenye mada moja kwa moja.
Siku hizi kuna kampeni kubwa ya kukataa kufunga ndoa kwa vijana wa kiume, matokeo yake wanachukua vimada wanaishi nao na baada ya muda fulani mwanamke anatimuliwa bila chochote anaondoka na kwenda kuanza maisha mapya huku...
Tanzania imetajwa kuwa nchi ya mfano katika udhibiti wa maambukizi ya Ukimwi na vifo vitokanavyo na ugonjwa wa Ukimwi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Ukimwi (UNAIDS), Winnie Byanyima amesema, sababu ya uzinduzi wa ripoti hiyo kufanyika nchini ni kutokana na...
Live-in relation ship ni mahusiano ya uchumba wa muda mrefu sana bila ndoa rasmi, na ni zaidi ya uchumba, maana watu huishi maisha utadhani ya mume na mke. Mfano nina rafiki yangu, huyu ni rafiki yangu hataki kuoa na huu ni mwaka wa 10 yupo anaishi na bibie ndani ya nyumba yake na wana watoto...
Habari za usiku wapendwa katika bwana.
Nimeona ni vyema hili suala tukalijadili ili tuone kama linamanufaa au hapana.
Mimi nimekulia Igogo ambapo ni moja ya sehemu iliyotajwa wakazi wake watapaswa kupisha uwekezaji, hadi hivi sasa wazazi wangu wanaishi Igogo, Igogo napajua vyema.
98% ya...
Ulivyo Soma ni sahihi kabisa wala hujakosea. Ndo habari ya mjini, zile nyumba zote zilizopo kwenye mountain inabidi zitoke jamaa wa Brazil aje ajenge na Familia yake.
--------
Wawekezaji hao wanatarajia kuwekeza kwenye sekta ya miundombinu, viwanda na utalii katika maeneo ya Igogo, Isamilo na...
Hii ipo sehemu nyingi sana, nimepigwa na butwaa imefika mpaka marekani kwa sasa ambako wamarekani weusi wanalalamika wanaijeria wanaiba kazi zao, cha kushangaza wamarekani weusi wengi hata elimu za kuajiriwa kwenye kazi wanazoomba wanaijeria hawana.
Unakuta mtu analalamika mnaijeria anaiba...
Tunaomba wahusika wa mtaa lilipo Daraja La kijazi( Ubungo Mataa) Mtupie jicho kundi kubwa la watoto waliofanya makazi yao eneo la Daraja. Ni Muda sasa watoto hawa wanalala maeneo ya Daraja na wanafanya shuhuli nyingi ikiwemo kupika. Kwa wale wanaoenda Makazini asubuhi nadhani mnajionea watoto...
Mnapokwenda kutafuta maisha na kuwekeza nyumbani, mlishafikiria maisha ya uzeeni na gharama za matibabu? Nchi za Scandinavia na baadhi ya nchi za Ulaya matibabu ni bure hasa ukiwa umelipa tax katika maisha yako ya kazi.
Unapoamuamua kustaafu nyumbani, umejenga ghorofa zuri tu, lakini...
Mtanzania aliyeopo Ukraine aeleza jinsi hali ilivyo katika mji wa Kharkiv ambapo anasoma masomo yake ya udaktari bingwa. Akizungumza, Dkt. Evans Liseki. Amesema milipuko kadhaa imesikika na. wameamriwa kukaa ndani na mamlaka hivyo ameshindwa kuhudhuria masomo.
Vladimir Putin alitangaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.