Hawa jamaa walinifuata Insta na kutaka nifanye nao kazi ya ugavi. Walijitambulisha kuwa ni Sasakawa Lodge ndani ya Serengeti. Wakasema walitembelea trade profile yangu wakasema tukutane next day evening huko Serengeti tuingie mkataba.
Nikapigiwa na mwanamke ambaye anazungumza kiingereza cha...