Kumekuwa na hii tabia ambayo wahudumu wa afya wanaifanya sana kwa wagonjwa wanaotumia bima za afya. Unakuta mtu anaumwa ugonjwa fulani anaandikiwa dawa ambayo kwa makusudi kabisa wanajua dawa husika haipo kwenye orodha ya dawa kwenye fungu la bima alilopo mgonjwa husika na ni ngumu dawa hiyo...
Aisee mambo ya kuwa na mwili na Misuli ya kuvutia imepelekea wasanii wengi wajitoe muhanga kula dawa Ili waweze kupata Misuli mikubwa na inayoonekana ilinkuimarisha brand zao.
Niwekee wazi tu SI rahisi Kwa mtu yeyote kubeba vyuma na kuwa na mwili wenye Misuli, hata magwiji kama Anorld, Rambo...
Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza limesema idadi ya wanawake wanaotumia dawa za kulevya mkoani humo, imeongezeka maradufu kulinganishwa na wanaume.
Akisoma taarifa ya mwenendo wa vitendo vya matumizi ya dawa za kulevya mkoani Mwanza katika utangulizi wa Siku ya Kupambana na Dawa za Kulevya, Mrakibu...
Waganga wa kienyeji wamegawanyika katika makundi mawili.
1: Wanaotumia mitishamba kutibu bila kuhusisha mizimu au ramli au ushirikina. Hata nabii isaya aliwahi kutumia mitishamba kumtibu Mfalme Hezekiah. Hata Yesu aliwahi kutumia tope kumtibu kipofu macho.
Sizungumzii hawa...
2: Kundi kubwa LA...
Tumekuwa tukisikia malalamiko mengi sana. Mengi sana dhidi ya wenye madaraka wanaobambikia watu kesi za ajabu ajabu hasa za kisiasa. Ingawa watu wanaonewa kila kona, wanauwawa bila hatia na polisi kwa mfano kule Mtwara, kijana asiyekuwa na hatia kauwawa sababu ya dhulma.
WAALIFU Kama Urio, na...
Matajiri halali wadunia wanaotumia elimu za darasani kujitajirisha.
1. ELON MUSK
Bachelor of Physics
Bachelor of Economics.
Utajiri wake aliupata baada ya kuuza program aliyobuni wakati anasoma
2.
3.
4.
5.
Tuendelee kuwataja.
Habarini wadau.
Leo nimeona nitoe maoni yangu kuhusu watu hawa wanajiita mitume na manabii na masheikh.
Mtu anatumia mafuta, maji, chumvi nk. Wanajiita ni mitume na manabii; je, Biblia inasema hivyo? Ingawa sina rejea ya vifungu moja kwa moja lakin matendo ya Yesu akiwa duniani alifanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.