Mchungaji Godfrey Malisa amesema; "Bado tuna safari ndefu sana. Demokrasia ya Tanzania inatakiwa kuendelea kuipigania, bado sana. Bado kuna safari ndefu. Kwa sababu kuna wanaotaka demokrasia na kuna wasiotaka demokrasia. Na kwa bahati mbaya, wale wasiotaka demokrasia wana uwezo mkubwa sana wa...