Naamini kati ya majeshi 6 bora duniani ambapo jeshi letu (JWTZ) ni la 6, naamini kwenye ma 5 yajuu jeshi la Marekani litakuwepo. Sasa kwanini raia wa Marekani wanavaa nguo zinazofanana na jeshi na hawachukuliwi hatua?
Wanashindwaje kudhibiti hili jambo? Au wao hawapo kwenye orodha ya majeshi...
Kuna njia nyingi za kummaliza mwanasiasa kisiasa; moja ya njia hizi ni kuteua na kutumbua bila kutoa kupewa sababu ya kuteuliwa na bila sababu ya kutumbuliwa.
Kanda ya Ziwa ni eneo moja wapo ambalo kwa bahati mbaya halina wanasiasa wenye nguvu katika bunge la sasa. Mhe. Magufuli alihakikisha...
Kuhusu swala la bandari wewe mwananchi ndiye ulaumiwe kwanini hupendi kuwa kiongozi na hupendi kushiriki siasa
Wapo watu wanajidai wanaweza kuongoza nchi lakini ni waoga balaa hata kugombea umonitor wa darasa wanaogopa.
Wengine ni wasomi wakubwa lakini wanaogopa kuingia kwenye siasa wengi wao...
Ni kwa nini haya mambo yasiwe ya ana kwa ana ama kupiga simu, kwanini wengi wakipata mimba iwe ni yako ama kubambikiziwa hupendelea kukujulisha kwa meseji?
Bila Shaka mpo Pouwa!
Miaka na miaka nimekuwa nikisikia Watu wakisifia baadhi ya makabila Kwa Sifa nzuri, moja wapo ya Makabila yanayosifiwa ni pamoja na Ndugu zangu Wasukuma(kwani Mimi ni Mnyamwezi). Sifa wapewayo ni Upendo, ukarimu na kuwa Watu Wema.
Lakini muda huohuo utasikia Wakiimbiwa...
Mdude na wenzake wanaishi Mbeya; wamekaa Mbeya toka hukumu ya DP world ilipotolewa na wakatoa na matamko yao hakuna aliyewakamata.
Mara paap wamepanga safari waje zao kula bata mjini wanakamatwa usiku wa manane Mikumi; kisha utasikia wamepelekwa makao makao makuu Dodoma mara wamepelekwa Mbeya...
Ndugu wanabodi nimekutana na huu mkanganyiko hasa kwa wahitimu wa jinsia ya kiume, ambao katika uchaguzi wao wa masomo walichagua kusoma sayansi, isitoshe wamepata credit zinazokidhi kuendelea na masomo ya sayansi.
Kwa mshtuko na mshangao wengi wao wamechaguliwa wakasome masomo ya art Kwa...
Salama Ijumaa hii?
Kusifiwa ni jambo zuri, hasa ukipewa sifa ikiwa umefanya kitu kizuri. Inakupa hamasa ya kufanya vizuri zaidi. Shida inakuja ukiambiwa kinyume. Yaani mtu akikuchana ukweli unakasirika, unafura na kumuona tu hafai.
Tena ukiambiwa ukweli na mtu aliyekuwa anakusifia kila siku...
Ndugu zangu mtakuwa mashahidi nchi nzima hii benk imekithiri kwa kupangisha watu foleni.
Si mimi tuu hata msanii wa miondoko ya kufoka foka hapa nchini aliwahi kusema.
Tarehe 30/06 Tawi la kyela nilitumia masaa matatu mpaka kufika dirishani. Kuna muda nahesabu watu wapo kama 130 katika foleni...
Wasalaam JF,
Arusha ni kiboko Kila bar ukienda wahudumu hawa Barmaids ni Omba Omba wa hatari, hawa mademu wanaringia matako, kuvaa vimini skirts uniform wanadhani ndio silaha kuu, ukitumia uungwana tu wa kucheka na au ukampa ofa siku moja basi anataka akufanye danga mshika pembe siku zote hadi...
Hizi siku mbili tatu, nikiingia status za whatsap, fb ...watu wapo busy na wanafunzi wapya waliohamishiwa MNH kutoka sudan
Chaajabu hadi watu maarufu nao wapo busy na huo uzuzu.
Hivi ina maana hamjawahi/hawajawahi kuona wadada warembo?
They are acting like they were in boarding schools for 10...
Sio viongoz sio mashabiki wote wanajizima data yani kiukweli wanatia aibu na kuidharirisha taasisi kubwa kama ile, sasa oneni alichoondika afisa habari wenu.
#Ahmed ally
Hadi sasa hakuna elie weza kuvunja rekodi yake Katika ligi hii ya Tanzania Katika kufumania nyavu🦁
Swali: JE HAMJUI...
Hivi kwanini wazanzibari wanaprefer kuwa part of waarabu….hivi kweli wakijiangalia kwenye kioo wanajiona ni waarabu?
Wanzibar hukataa asili zao za Congo Mashariki, Burundi, Kigoma, n.k. wanaukataa Uafrika na kujiita waarabu wakati hata waarabu wenyewe huwabagua huko uarabuni na hata hapa kwetu...
Heshima kwenu wanajamvi,
Kumekuwa na sintofahamu kila mara kiongozi mkuu wa nchi (Rais wa JMT) akitokea nchi ya Zanzibar jambo la kwanza ni kuuza ardhi ya Tanganyika.
Rais wa awamu ya pili Mzee Ally Hassan Mwinyi aliuza ardhi ya wamaasai huko Loliondo kwa waaarabu wa Dubai UAE.
Rais Samia...
Katika harakati zangu za moja na mbili na utafiti mchwara niliofanya bila kufata vigezo vya kisayansi na kiutaratibu wa utafiti wowote ule nimeweza kugundua yafuatayo;
~ Wanawake wengi hawana mapenzi ya kweli kabsa.
~ Wanawake wengi wanaingia kwenye mapenzi na mwanaume au wanaume ili...
Huwa nashangaa sana baadhi ya wakristo kulazimisha ukaribu na taifa la Israel kujidanganya kwamba dini ya kikristo inawaunganisha,
Wengine wamefika mahala kuweka bendera ya taifa la Israel makanisani, kwenye vyombo vya usafiri, wallpaper za simu, n.k.
Wayahudi sio wakristo na wanampinga Yesu...
Mzee mmoja ambaye jina lake linahifadhiswa, amekutwa akitengeneza mishkaki kwa kutumia nyama ya Mbwa na kusema biashara hiyo aliianza tangu mwaka 2010 akiwa katika stendi ya Ubungo na sasa alikuwa stendi ya mbezi (Kituo cha Mabasi Mbezi, Magufuli).
Chanzo : Channel Ten
Eti wadada wanapenda wanaume wa namna hii. Sisi wenye vifua kama chaga za kitanda hawatutaki, kisingizio eti hatuwezi kupambana na adui pale atakapotokea.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.