https://youtu.be/0RcWs0IziCE?si=0gxkMRR2MshWJnoT
👉🏻Hivi huyu jamaa aitwaye Kihampa, Msajili wa makanisa huko Wizara ya Mambo ya ndani ameona hii...?
👉🏻Inakuwaje Nabii huyu amtaje taje Rais Samia (mwanasiasa) katika mahubiri yake wakati huyo ni mwanasiasa...?
👉🏻Hakuishia hapo, akaenda mbele na...
Wakuu,
Siasa na matamko sehemu za dini pamoja na kauli za viongozi wa dini huko Makanisani, Misikitini na kwenye shughuli nyingine za kidini zimeendelea kuzua mijadala nchini, hasa tunapoelekea katika kipindi cha uchaguzi mkuu 2025.
Siasa na matamko sehemu za dini pamoja na matamko ya...
Askofu Willybard Lagho wa Kanisa katoliki jimbo la Malindi, Kenya ametoa waraka kwa makasisi wote wanaosimamia parokia za dayosisi hiyo, akiwaagiza wasiwape nafasi za pekee wanasiasa wakati wa misa takatifu.
Kulingana na waraka huo, uliopatikana na BRK, wanasiasa wamekatazwa kuhutubia wafuasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.