wanasiasa makanisani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hebu nisaidieni. Kwa tafsiri ya Civil Society Registrar, hii nayo si ni kuhubiri siasa za No Reforms No Election ndani ya kanisa? Mnaona polisi hapo?

    https://youtu.be/0RcWs0IziCE?si=0gxkMRR2MshWJnoT 👉🏻Hivi huyu jamaa aitwaye Kihampa, Msajili wa makanisa huko Wizara ya Mambo ya ndani ameona hii...? 👉🏻Inakuwaje Nabii huyu amtaje taje Rais Samia (mwanasiasa) katika mahubiri yake wakati huyo ni mwanasiasa...? 👉🏻Hakuishia hapo, akaenda mbele na...
  2. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli za Kisiasa Makanisani na Misikitini zazidi kuzua mjadala kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Wakuu, Siasa na matamko sehemu za dini pamoja na kauli za viongozi wa dini huko Makanisani, Misikitini na kwenye shughuli nyingine za kidini zimeendelea kuzua mijadala nchini, hasa tunapoelekea katika kipindi cha uchaguzi mkuu 2025. Siasa na matamko sehemu za dini pamoja na matamko ya...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Askofu Willybard Lagho: Wanasiasa wasipewe upekee kanisani

    Askofu Willybard Lagho wa Kanisa katoliki jimbo la Malindi, Kenya ametoa waraka kwa makasisi wote wanaosimamia parokia za dayosisi hiyo, akiwaagiza wasiwape nafasi za pekee wanasiasa wakati wa misa takatifu. Kulingana na waraka huo, uliopatikana na BRK, wanasiasa wamekatazwa kuhutubia wafuasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…