wanataka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. crankshaft

    Baada ya baba kufariki, watoto wa mke mdogo wanataka mali, tufanyeje?

    Ipo hivi mzee wetu alikuwa na wake wawili mkubwa ndio mama yetu sisi na mdogo alikuwa ana watoto wake. Sasa huyo mke mdogo alishafariki muda mrefu amebaki huyu mkubwa ambaye ni mama yetu sisi. Muda si mrefu mzee naye kafariki baada ya kusumbuliwa na ugonjwa kwa muda mrefu. Tumefanya msiba na...
  2. Jemima Mrembo

    Kwanini viongozi wa dunia wanataka kumyang'anya nguvu ya utawala mwanaume na kumpa mwanamke?

    Sorry my fellow ladies, najua mtaona like I'm snitching you. Mungu alipo iumba dunia hii alimuumba mwanaume awe mtawala na sisi tuwe wasaidizi. Mwanaume alifanya kazi za uwindaji, kufukuzana na wanyama huko maporini kisha wakatuletea chakula tupike. Kazi ya baba nyingine ilikuwa ni ulinzi wa...
  3. emmarki

    (Internal memo) Kampuni ya sola Engie zamani mobisol wanataka watu 20 wa sells

    JOB ADVERTISEMENT To ALL qualified individuals, Please see below, the job advertisement under the Business Department. Job Title: NEO Sales Intern Position: Twenty (20) Job Grade: N/A Reporting to: Regional Business Executive, indirectly to Zonal Business Manager (ZBM)...
  4. GENTAMYCINE

    Watanzania wanataka uwe Champion wa Maisha yao Magumu na siyo uwe Champion wa Sensa iliyoisha

    Katika 61,741,120 wenye Maisha Magumu (Msoto Daily) ni 60,000,000 (kwa mujibu wangu Binafsi kama GENTAMYCINE ) sasa hii Nguvu ya Kujisifu kuwa Wewe ni Champion wa Sensa inatoka wapi? Halafu labda leo nikushauri kuwa na Wewe sasa anza Kushtuka na Kuwashtukia wanaokusifia kwani wengi Wanakusanifu...
  5. L

    Watu wanataka utume kwenye namba hii

    Kila siku Ni angalau unapokea msg moja ya watu(matapeli) wanataka kutumiwa hela kwenye namba zao za simu. Je mamlaka haziwezi kudhibiti Hali hii hata baada ya kusajili line zetu kwa alama za vidole?
  6. Komeo Lachuma

    Nchi hii kuna siku utasikia hawa nao wanataka Urais

    Nchi hii ishakuwa ya mchezo mchezo sana. Yaani kila mtu sasa anaona anaweza kuwa Rais. Pamoja na kuwa Katiba inaruhusu lakini tuwe serious wajameni. Watanzia tusidharaulike sana. Najua UraHIs kwa Watanzia ni kitu chepesi sana. Lakini tusifike huku. 1. Hamis Kigwangalla 2. January Makamba 3...
  7. MK254

    Mapigano yazuka kati ya walinzi wa mpaka wa Kyrgyzstan na Tajikistan

    Siku zote Urusi amekua akikingia kifua Armenia, na yupo hadi na base pale, ila ilipobainika Urusi hana chochote cha maana kwenye medani za vita baada ya aibu anayopata Ukraine, ghafla Azerbaijan wakaanza kuchakaza Armenia. Na mtanange haujaishia hapo, kunao hawa Kyrgyzstan na Tajikistan...
  8. Mkwanzania

    Watanzania wanataka nini?

    Watanzania wanataka barabara nzuri za juu na chini, wanataka reli ya kisasa, wanataka huduma bora za afya na elimu bure, wanataka mbolea na mafuta kwa bei nafuu, hapo bado wanataka na ajira zenye mishahara minono na wale walioajiriwa na serikali wanataka nyongeza mara dufu, lakini hawataki...
  9. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Walimu wanataka Katiba mpya kama sheria mama ili iisimamie maslahi yao na sio blah blah za Waziri wa TAMISEMI

    Waziri wa TAMISEMI ndugu Inocent Bashungwa, tumezisikia blah blah zako kuhusu walimu na matatizo yao ambayo ni sugu tangu Uhuru. Walimu ndio waasisi wa Taifa hili lakini serikali ya CCM ndio imewanyonga sana na kuifanya jamii iwatukane na kuwaaibisha hadi imefikia hatua hakuna mtoto anaetamani...
  10. Suley2019

    Wydad AC wanataka kumsajili kocha Nasredeen Nabi kwa ajili ya msimu ujao

    Klabu ya wydad AC imejadili uwezekano wa kumteua kocha mkuu wa Yanga SC Nasreddine Nabi kuinoa timu yao katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao baada ya Walid Regragui kujiuzulu. Pia; Jina la Pitso Mosimane limetajwa na bodi mkutano wao wa hivi majuzi. --- Wydad AC have discussed...
  11. Meneja Wa Makampuni

    Watumishi wengine elimu zao ndogo lakini wanataka kulipwa mamilioni

    Watumishi wengine elimu zao ndogo lakini wanataka kulipwa mamilioni. Ni huzuni. Certificate anataka kulipwa milioni moja kwa mwezi. Diploma naye hivyo hivyo. Solution hapo ni kurudi shule tu ili ujipandishie mshahara mwenyewe.
  12. The Assassin

    CNN: 73% ya Wamarekani wanataka Biden asigombee 2024, hawaelewi nchi inakoelekea chini ya Biden

    Takwimu za kila siku zinaonyesha kua idadi kubwa ya Wamarekani hawamuelewi Biden na hawaelewi nchi inakoekea. Ndani ya mwaka mmoja umaarufu wa Biden umekua ukishuka kwa kasi ya ajabu. Hii ni kutokana na kwamba wamarekani hawaelewi Biden anachokifanya Ikulu. Nashindwa kuelewa huyu mzee...
  13. Idugunde

    Geita: Wamuua mama yao Kikongwe wa miaka 70 kisa tu wanataka urithi wa shamba

    Picha: Kamanda wa Polisi Mkoani Geita Henry Mwaibambe Kamanda wa Polisi Mkoani Geita Henry Mwaibambe amethibitisha tukio la Mwanamke mmoja mkazi wa kijiji na kata ya Nyaruyeye Wilayani Geita, Milembe Lutubija (70) kuuawa kwa kukatwa mapanga na watoto wake kwa madai ya watoto kuhitaji...
  14. ward41

    Mabeberu wanataka kuchimba madini huku

    Hiki kimondo kinaitwa Phsyche. Utajili wake ni sawa na Kila mwanadamu anakuwa na utajili wa Bill gates. Kiko ktk ya sayari za mars na Jupiter ila beberu USA kafikisha Voyager na mpango ni kuyachimba madini ya huko. Tujifunze kutoka Kwa hawa watu kuliko kuwachukia. Wako mbali sana kisayansi
  15. Analogia Malenga

    Rais Samia: Wangapi wanataka kuwa Marais

    Naangalia Movie ya Royal Tour, kuna kipande Rais anauliza wanafunzi 'Wangapi wanataka kuwa marais' wanafunzi wamenyoosha mikono wengi. Nikawaza swali kama hili wakaulize kwenye Chama halafu kina Etwege na wenzake wanyooshe mikono kama hali itakuwa salama
  16. MK254

    Makundi yote 24 yatoa masharti yao ya kuacha vita DRC, na wenyewe wamechoshwa na mugomvi, wanataka kurudia maisha ya kawaida

    Wapo tayari kurudi mashambani na kwenye familia zao, kimsingi wahakikishiwe usalama wao. ================= The latest peace bid for the Democratic Republic of Congo’s troubled eastern region appeared headed for a solid footing after 24 armed groups gathered in Nairobi to express their...
  17. B

    Wananchi wanataka katiba mpya sasa wasiotaka kina nani?

    Wananchi kwa tafsiri sahihi wanataka katiba mpya sasa: Enyi kina Zitto na wenye kujitanabaisha kuwa katiba mpya si kipaumbele mna mwakilisha nani? Hekima ipi mpewe na nani nyie? Au ndiyo la kuvunda?
  18. BigTall

    Mdau: Wanachojadili Wabunge kwenye group lao, wanataka magari yao yawe na Special number

    Wadau salama, leo nimekutana na hili andiko, tusome mtazamo wa mwenzrtu kuhusu kile wanachojadili wabunge... *************** WANAYOJADILI WABUNGE KWENYE GROUP LAO LEO KUTWA NZIMA Na Thadei Ole Mushi Wabunge wa CCM leo kwenye Group lao la kibunge wamejadili na kukusudia kupeleka hoja bungeni...
  19. Erythrocyte

    TWAWEZA: Katika Watanzania watatu, Wawili wanataka Katiba Mpya

    Hii ndio taarifa iliyopatikana kutokana na Utafiti uliofanywa na Taasisi inayoaminika nchi Tanzania inayoitwa TWAWEZA , katika utafiti wao ulioitwa UNFINISHED BUSINESS . Bila shaka sasa kuna haja ya kufuata matakwa ya wengi.
  20. B

    ACT Wazalendo kama CHADEMA na wengine pia wanataka Katiba Mpya

    Amesikika Abdul Nondo katika kipindi cha Medani za Siasa Star TV kwa niaba ya ACT, kwamba hata wao wanataka mno katiba mpya. Pamoja na tofauti zilizopo yumkini Chadema au NCCR au CUF na ACT wanaweza kufikia hatima inayoweza kutuletea sote raha. Ikumbukwe umoja ni nguvu. Bila kusahau adui yetu...
Back
Top Bottom