Watanzania wanataka barabara nzuri za juu na chini, wanataka reli ya kisasa, wanataka huduma bora za afya na elimu bure, wanataka mbolea na mafuta kwa bei nafuu, hapo bado wanataka na ajira zenye mishahara minono na wale walioajiriwa na serikali wanataka nyongeza mara dufu, lakini hawataki...