Diwani wa Kata ya Ramadhani, Erasto Ngole amesema kumekuwepo na changamotoya kijamii katika eneo hilo ambapo baadhi ya wanawake wanadaiwa kuwatoza fedha waume zao kabla ya kuwapatia tendo la ndoa.
Ngole amesema hadi sasa ofisi yake imepokea jumla ya kesi tano zinazohusiana na suala hilo, hali...