wanawake chuma ulete

  1. kwisha

    Kumbe kweli wanawake chuma ulete wapo

    Kuna demu nilikuwa na mfukuzia mda kidogo alikuwa ananizungusha saana. Lakini kwa bahati nzuri jana ile alinikubalia. Lakini kila nikifunga macho naona kabisa huyu ni chuma ulete Mtu kanikubali jana tu. Lakini tayari amesha nilalamikia shida zake mara 3 Asubuhi kaniambia hana salio kwenye simu...
Back
Top Bottom