Ijue idadi ya wanawake katika Kamati kuu za CCM, Chadema, ACT Wazalendo na CUF
ACT WAZALENDO
Kamati kuu ya ACT Wazalendo ina wajumbe 55 ambao kati yao 23 ni wanawake. Wajumbe hao ni pamoja na Kiongozi wa chama, Naibu kiongozi wa chama, Mwenyekiti wa Taifa, makamu wenyeviti (Bara na...
Wakuu,
BAWACHA wakiadhimisha Siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2025 Mlimani City Dar es Salaam mgeni rasmi akiwa ni Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Tundu Lissu
https://www.youtube.com/live/BhVRj5tp_z8?si=wF5PaZcUShwmbURr
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa akizungumza baada...
Wanabodi,
Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, hivyo hizi ni salaam zangu za Siku ya Wanawake Duniani kwa wanawake wote wa Tanzania. Kwa Tanzania, Maadhimisho rasmi ya kitaifa yanafanyikia Uwanja wa Sheikh Amri Abedi, jijini Arusha, mgeni Rasmi akiwa ni Rais Samia.
Hili ni bandiko la swali, kwa...
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Makundi Maalum, Wakili Amon Mpanju amewataka wanawake kujitokeza kwa wingi kwenda kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi mkuu utakafoanyika mwaka huu.
Akizungumza katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani...
Kwa sasa, tunaona mwanamke anayewania urais pamoja na chama cha siasa kinachotaka mgombea wao wa nafasi hiyo awe mwanamke.
Hata hivyo, dini inasema bila utata kwamba mwanamke haruhusiwi kuwa kiongozi mkuu wa nchi. Anaweza kuwa makamu wa rais, waziri, au kushika nafasi nyingine za uongozi...
Wakuu,
Wanawake Dar mmeamua haya na mi sijui, kuna watu wana siri...nimelia sana:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh:
=====
Wanawake wa jijini Dar es Salaam, kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wanatarajia kuandaa tukio maalum la kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Nadhani ni jambo lisilopingika na la wazi kitamaduni na kiuhalisia pia sidhani kuna kutoelewa umuhimu wenu kwenye majukumu mliopaswa kuyatumikia na kuyafanya kila siku cha ajabu zaidi elimu ya magharibi inawatoa kwenye mfumo wenu na kiasi madhara yake ujitokeza hadharani.
Rudini kwenye maisha...
Wakuu
Hivi CCM hamnaga mfumo wa vetting kudhibiti nani ataongelea chama chenu?
Hizi kauli mnataka wanaume wazichukuliaje? Na huyu anayejiita Queen ni nani ndani ya chama chenu mpaka awatolee matamko?
======================================
Kupata taarifa na matukio kuelekea uchaguzi mkuu 2025...
Naomba nisieleweke vibaya ama nikaonekana nina ubaguzi na hii jinsia yakike kutokana na maoni yangu!, ikiwa kuna mtu nitamkwaza kwa hii mada basi tusameheane!.
Kitu kinachoitwa uongozi na wanawake kwenye haya maisha naweza sema kwa idadi yao basi wanaouweza uongozi labda ni asilimia 2 tu ya...
Katika kuhakikisha mwanamke hapati vikwazo Kuna sheria ya uchaguzi inavyomlinda mwanamke sheria ya uchaguzi ya Zanzibar no. 4 ya mwaka 2018 na sera ya jinsia na ushirikishwaji wa jamii ya Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar iliyoanzishwa mwaka 2015.
Je, uwepo wa Sera na Sheria hii utatoa mwanya...
Na Thuwaiba Habibu, Zanzibar.
Sensa ya watu na makaazi ya
mwaka 2022 inaonesha Zanzibar ina watu 1,889,773 kati ya hao wanaume ni 915 ,492 huku wanawake ni 974 ,281 hii ikimanisha wanawake ni wengi.
Kwa wingi wote huo nafasi ya za kuongozi kwa wanawake bado hajakidhi malengo Kutokana na...
Rushwa imekuwa kikwazo kikubwa katika mchakato wa uchaguzi, hasa ndani ya vyama vya siasa. Hii si tu inavuruga mchakato wa Kidemokrasia, bali pia inazima ndoto na juhudi za Vijana ambao wangependa kuona mabadiliko chanya katika uongozi wa Vyama na taifa kwa ujumla
Katika Mjadala kuhusu Rushwa...
Uchaguzi wa hivi karibuni ndani ya Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania (CHADEMA) umekamilika, lakini umeibua maswali mengi—hasa kuhusu uwakilishi mdogo wa wanawake katika ngazi za juu za uongozi wa chama.
Wachambuzi wa masuala ya siasa wanaeleza kwamba kukosekana kwa kanuni na miongozo...
Pili Said Mohamed, ni Diwani wa Wadi ya Mahonda, Wilaya ya Kaskazini ‘B’ Unguja, simulizi yake katika harakati za uongozi inaonesha historia ya kipekee katika safari za Wanawake wengi wenye ndoto za uongozi visiwani Unguja.
Pili ambaye alianza harakati za Siasa Mwaka 2020 akiwa Mwanachama hai...
"Inaonekana hali ya kisiasa itakuwa ngumu na huenda hali hiyo ikasababisha Wanawake kutokugombea kwa hiyo lazima kuwajengea uwezo."
Hayo yalizungumzwa na Mhadhiri wa Chuo Kikuu Huria (OUT), Victoria Luhiri tarehe Febuary 14, 2019 katika mdahalo wa ushiriki wa Wanawake kwenye Uongozi...
Safari ya uongozi kwa Wanawake kamwe haijawahi kuwa nyepesi, Mwanamke anapita katika njia mbovu, milima na mabonde pia kona hatarishi. Licha ya ugumu huo, wengi wanapambana na mengi hadi kufanikiwa katika malengo ya ndoto zao.
Simulizi ya kuvutia ya Asya Mohamed, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa...
Wakuu
Jumuiya ya umoja wa wanawake Tanzania (UWT) wilayani Rufiji Pwani imewaonya wanachama wa chama cha Mapinduzi CCM walioanza kutangaza nia na kufanya kampeni za chini kwa chini kama ishara kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu
Akizungumza katika mkutano wa waandishi wa...
Ukiangalia dini zote kubwa mbili za Uislamu na Ukristo zinazuia wanawake kuwa viongozi lakini ukiacha Uarabuni sehemu nyingine zote za dunia ikiwemo Tanzania hayo maelekezo na Tamaduni za dini yamepuuzwa katika upande wa siasa na wanawake wamekuwa viongozi.
Kama wanawake wanaweza kuongoza...
Na Thabit Madai, Zanzibar
Zanzibar ya sasa inashuhudia mabadiliko makubwa katika ushiriki wa wanawake katika uongozi, ikilinganishwa na enzi za zamani. Kwa mara ya kwanza tangu mapinduzi ya 1964, wanawake wanashikilia nafasi muhimu, ikiwa ni pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi na Naibu Spika wa...
"Niliishiwa na nguvu, baada ya kutolewa katika chumba cha kupigia kura, wakati Mimi nilikuwa ni mgombea halali wa uwakikishi Jimbo la Malindi Mwaka 2020," anasema Khadija.
Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020, alitolewa katika chumba cha kupigia kura, na kuvumilia ukatili wa Kijinsia, wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.