wanawake na uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Pre GE2025 Uwepo wa Dawati la Jinsia katika Vyama vya Siasa utasaidia kupunguza mazingira ya Rushwa ya Ngono

    Zanzibar: Asha Bakar (40) mtoto wa mwisho kati ya watatu wa familia ya Bakari Juma, Asha ambaye pia ni mama wa Watoto watatu, anayeishi na mume wake kisiwani Unguja, anasimulia safari yake ya uongozi ilivyokatika hafla, baada ya kutakiwa kimapenzi na bossi wake. “Bosi wangu aliniambia baada ya...
  2. N

    Pre GE2025 Kwa namna gani Katiba za vyama zinatoa fursa kwa Wanawake kufikia 50/50 katika nafasi za uongozi?

    NA MARYAM HASSAN WAKATI dunia ikiendelea kupaza sauti juu ya ushiriki na ushirikishwaji kikamilifu wa wanawake katika nafasi mbali za uongozi, Zanzibar haipo nyuma katika haraakati hizo. Kupitia Chama cha Wandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA-ZNZ) na wadadu wengine wamekuwa wakiendelea...
  3. figganigga

    Pre GE2025 Je, itungwe Sheria mpya kuwalinda Wanawake dhidi ya Unyanyasaji kipindi cha Uchaguzi?

    Salaam Wakuu, Kwa mujibu wa Taasisi ya Kitaifa ya Kidemokrasia (NDI), katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, wanawake waliochaguliwa kwa nafasi za ubunge ni asilimia 9.5, wabunge wa viti maalumu ni asilimia 29, hivyo kufanya jumla ya wabunge wanawake kuwa 142 kati ya 393. Vilevile, ripoti ya Tume...
  4. figganigga

    LGE2024 Wanawake Jitokezeni Kugombea na kupiga kura kama mlivyojitokeza kujiandikisha Serikali za Mitaa

    Hivi karibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa akiwa Mkoani Dar es Salaam katika Ukumbi wa Ofisi Ndogo ya TAMISEMI, alisema jumla ya watanzania 31,282,331 wamejiandikisha kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024, ambao ni sawa na asilimia 94.83 ya...
  5. Lady Whistledown

    Pre GE2025 Wanaume washirikije kuwaunga Mkono wanawake Wanaoingia kwenye Siasa?

    Wanaume wanaweza kuwa na mchango mkubwa sana katika kuwaunga mkono wanawake wanaotaka kujihusisha na siasa. Kwa mfano, wanaweza kuanza kwa kuwatia moyo na kuwa na mtazamo chanya kuhusu uwezo wao wa kuongoza. Pia, wanaweza kuwa mabalozi wa mabadiliko kwa kuhimiza jamii ikubali na kuona...
  6. Lady Whistledown

    Pre GE2025 Ikitokea Ndugu yako wa Kike anataka kujihusisha na Siasa utamtia Moyo kuendelea?

    Wakuu, Naombeni mawazo yenu hapa tukikumbuka kuwa kushiriki siasa siyo tu haki ya kila mtu, lakini pia ni fursa ya pekee ya wanawake kuchangia kwenye maamuzi ya nchi, yanayoathiri maisha ya kila mmoja wetu. Kwa muda mrefu sana, sauti za wanawake zimekuwa zikikandamizwa au kupuuzwa, lakini...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    Pre GE2025 Mwanamke anahaki ya kuongoza taifa hili. Watu waelewe nchi yetu haiongozwi na Dini wala Mila na desturi bali Katiba ya Nchi

    MWANAMKE ANAHAKI YA KUONGOZA TAÍFA HILI. WATU WAELEWE NCHI YETU HAIONGOZWI NA DINI WALA MILA NA DESTURI BALI INAONGOZWA NA KATIBA YA NCHI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Jàmani! Jàmani! Msijifanye hamnazo. Msiwe vipofu Wakati mnamacho. Mimi Mtu nikimsikia akiongea mambo ya Mila na...
  8. T

    Pre GE2025 Je, mwanamke ni mtu duni wa fikra katika uongozi?

    Kwa muda mrefu wamekuwepo watu wanaoamini uongozi unahitaji nguvu za misuli na kutokana na misuli ya mwanamke kuwa dhaifu kuliko ya mwanamume sio busara kukabidhi uongozi kwa mwanamke. Watu hawa hawaelewi kwamba uongozi ni kuonyesha watu njia nzuri, bali wapo wengine wanaoweza kuwapeleka...
  9. Lady Whistledown

    Pre GE2025 Kuna umuhimu gani wa Wanawake kujiingiza katika Siasa kuanzia wakiwa Wadogo?

    Ushiriki wa wanawake katika siasa kuanzia wakiwa wadogo ni hatua muhimu kuelekea kuleta usawa wa kijinsia katika uongozi na maamuzi. Wanawake wanapohimizwa kujiingiza katika siasa tangu wakiwa na umri mdogo, wanaanza kujenga uelewa na uzoefu wa uongozi mapema, jambo linalowaandaa kuwa viongozi...
  10. Thabit Madai

    Pre GE2025 Vyama vya siasa, familia, jamii pande tatu zenye maoni tofauti kwa wanawake kushika nafasi za uongozi

    Na Thabit Madai,Zanzibar UONGOZI ni ushawishi, dhana na taaluma inayompa mtu madaraka ya kuongoza ili kuleta maendeleo katika eneo ambalo anataka kuliongozi, Juhudi za wanawake kuwa viongozi Zanzibar bado kitendawili kutokana kuwa wanawake hao wanakabiliana na changamoto nyingi kama...
  11. A

    Pre GE2025 Uchumi mdogo kikwazo kwa mwanamke kufikia uongozi

    Bahati Issa Suleimani, mwenye umri wa miaka 51 , mwenye watoto 6 alithubutu kuwania nafasi mbalimbali za uongozi, ikiwemo ya katibu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) katika mwaka 1995, na Mwenyekiti wa Umoja Wanawake Tanzania mnamo mwaka 2017. “Katika mwaka 2020 niligombea nafasi ya udiwani...
  12. Miss Zomboko

    Pre GE2025 Ni Mwanamke gani ungependa kuona akishika nafasi ya Uongozi?

    Wanawake kwenye Nafasi za Uongozi ni mada muhimu inayozungumzia umuhimu wa kuwapa wanawake fursa zaidi katika uongozi na kuondoa vikwazo wanavyokumbana navyo. Jambo hili linaweza kufanikiwa kwa; Kuondoa Vikwazo vya Kijinsia: Wanawake wanakutana na changamoto kama vile ubaguzi wa kijinsia na...
  13. A

    Pre GE2025 Viunzi Virefu Vya Kuruka Vinavyowakamisha Wanawake Kuwa Viongozi

    Na Ahmed Abdulla: Zanzibar: Uongozi ni eneo ambalo limekuwa na muamko mkubwa huku suala la usawa wa kijinsia hasa katika nafasi mbali mbali za uongozi likisemwa mara nyingi ,licha ya mafaniko kadhaa yaliyopatikana lakini bado wanawake wanaona kuna viunzi virefu vya kuwafikisha kwenye safari...
  14. T

    Pre GE2025 Wanaume watoe uhuru wanawake kuingia katika uongozi

    Wanaume watoe ruhusa kwa wanawake kuingia katika uongozi Na Thuwaiba habibu Sheha wa michamvi Khadija hassani haji amewaomba wanaume watoe ruhusa kwa wanawake kushiriki katika uongozi Ameyasema hayo wakati alipokuwa akizungumza na muandishi wa habari hizi huko michamvi mkoa wa kusini...
  15. Miss Zomboko

    Pre GE2025 Ushiriki wa wanawake katika uongozi si tu suala la haki na usawa bali pia huboresha utawala wenyewe

    Ushiriki wa wanawake katika uongozi si tu suala la haki na usawa bali pia huboresha ubora wa utawala wenyewe kwa kuimarisha utofauti, kukuza usawa, na kushughulikia mahitaji ya raia wote. Wanawake wanaposhika nyadhifa za uongozi, wanakuwa mfano wa kuigwa na wasichana na wanawake vijana...
  16. T

    Pre GE2025 Rushwa ya ngono inavyowatesa wanawake wanaotaka Uongozi

    Rushwa ya ngono ni matumizi mbaya ya madaraka ili kujinufaisha kingono visivyohalali au pasipokuwa na makubaliano ya pande zote mbili. Kwa mujibu sheria ya kuzuia Rushwa na Uhujumi Uchumi Zanzibar nambari 5 ya mwaka 2023 kifungu cha 52 kimekataza rushwa ya ngono kwa kumtaka mtu mwengine afanye...
  17. Thabit Madai

    Pre GE2025 Nafasi za uongozi kwa wanawake Zanzibar bado kitendawili

    Na THABIT HAMIDU, ZANZIBAR Bahati Issa Suleiman 51, Mkaazi wa Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja alikuwa mgombea wa nafasi ya Udiwani wadi ya Bungi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Bahati ambae pia ni mwanaharakati wa kupinga vitendo vya udhalilishaji na ukatili...
  18. Tlaatlaah

    Pre GE2025 Unadhani ni kwanini vyama vya upinzani vikongwe nchini hawawaamini na hawapendelei kuwapa fursa za uongozi wa juu wanawake?

    Ni nini hasa huchangia vyama vya upinzani nchini, kuongozwa na wanaume pekee, na kutopendelea kabisa kuwapa fursa au kuchangamana na wanawake katika uongozi wa juu ndani ya vyama vyao vya kisiasa? Ni hawana uwezo, hawaaminiki wala kuthaminika ndani ya vyama vyao, hawana mipango madhubuti ya...
  19. Cute Wife

    Pre GE2025 Tufanye nini ili kuongeza ushiriki wa wanawake hasa vijana kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    Wakuu salaam, Kama tunavyojua Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu utafanyika Nov 27, na cheche tushaanza kuziona katika vyama vyote. Kama ilivyo miaka yote wanaume wamekuwa wakiongeza kujitokeza kugombea nafasi hizo huko wanawake wakiendelea kubaki nyuma, na kuwaona hasa wakati wa kupiga...
  20. Ojuolegbha

    Pre GE2025 Chatanda afungua semina ya viongozi wa UWT mkoani Shinyanga, ahimiza wanawake kuwania nafasi za uongozi

    Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Tanzania UWT Ndg. Mary Chatanda akiwa ameambatana na Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji UWT Taifa, tarehe 01 Julai, 2024 amefungua Mafunzo ya usambazaji wa Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya watu na Makazi ya Mwaka 2022 Kwa viongozi na watendaji wa Makundi maalum...
Back
Top Bottom